Revola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revola

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyani Ngabu, Nov 20, 2011.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Zamani kulikuwepo na tangazo la sabuni ya Revola redioni. Hili tangazo lilikuwa linatuacha hoi mimi na binamu zangu kwa sababu lilikuwa linasikika au tulikuwa tunalifananisha na ile milio/ miguno ya kimahaba.

  Reevoola...reeevooola...reeeeevooooola! Hivi hii sabuni bado ipo kweli?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  Umewaza nini mpaka kulikumbuka tangazo lile!? Hahahahahah lol!

   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Basi tu...nimekaa nikakumbuka mambo mengi ya early 90s.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Wala hajatumia revola ndo akakumbuka.
  Amekumbuka tu bahati mbaya.

   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anafanya shughuli aliyekuwa akiifanya kwa kutumia Revola enzi hizo ndio akakumbuka eeee?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa kama ulikuwepo vile...lol
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kisha yule mdada alokuwa akionyesha tangazo lao kwenye TV nae alikuwa bomba. Lazima shughuli iende smoothly ukichanganya matangazo yote mawili :]
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  inashangaza kuwa REVOLA ndio ilikuwa sabuni maarufu kuliko zote tz
  na kampuni imekufa....
  ingekuwa Ulaya au US kungekuwepo hata na vitbu vingeandikwa

  like 'Rise and fall of Revola'
  au Rise and fall of Bodycare' kampuni husika
  au BODYCARE what went wrong????.....

  waandishi wabongo kazi ni kutafuta bahasha tu maofisini mwa mafisadi...
  wakati kuna mambo meengi wangeandika...wangepata pesa ya uhakika..
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  lol..no comment!!
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwetu kuna pesa nje nje za ufisadi, kwa nini uhangaike na kufanya tafiti?

  Ila inashangaza sana kuwa Revola imepotea kwenye soko. Nchi za nje hata basi ingenunuliwa brand na kampuni nyengine tu.
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280

  Hahahahahaha lol! Shughuli nzito siyo? :behindsofa: :):)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  hizo pesa za mafisadi hazimalizi njaa
  wakati na heshima inashuka...
  vitabu vingewapa heshima na njaa ingewaisha..

  kweli kuhusu brand,umenipa idea aisee,,,,
  Revola haihitaji hata matangazo....kila mtanzania anaijua...
  yaani ni goldmine kabisa..
  siji kama Mengi ataweza kuiuza...
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Cha kwanza ni kumsaka alokuwa na Revola ununue brand faster. Kisha wewe unaenda kuitafutia mshtiri huko kwa Mengi na wengineo wanaotenegenza sabuni.

  Soko lipo wazi kwa Revola.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mbona mie naogea revola au mnaongelea revola ya maji?

  Huku kwetu zipo, supamaketi ndo hamna.
   
 15. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ngono zembe tu hakuna jingne.
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  sabuni imetumika sana kwenye kupiga puli. Nalog off
   
Loading...