Tunaomba serikali isiwawajibibishe Kina Ngeleja and co.

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Natoa wito kwa serikali isipoteze muda wake muhimu kuwawajibishe hawa watu.

Ni vema ikawaleta hapa Manzese watuachie nusu saa tuwawajibishe sisi.

Itakua fundisho kwa wizara na Taasisi nyingine kama TRA ambayo imejaa uozo lakini kila mhusika yuko kimya.
 
Manzese Woyeeeee!
Wape salam big braza
Vipi ile supu ya miguu ya kuku bado ipo?
 
Nadhani umewehuka. Ngeleja bado hawajahukumiwa hizo ni shutuma tu.
 
Natoa wito kwa serikali isipoteze muda wake muhimu kuwawajibishe hawa watu.

Ni vema ikawaleta hapa Manzese watuachie nusu saa tuwawajibishe sisi.

Itakua fundisho kwa wizara na Taasisi nyingine kama TRA ambayo imejaa uozo lakini kila mhusika yuko kimya.
mkuu nyie chukueni Ngeleja,tuachieni Jair na Luhanj.tuko uingereza tunachukua kozi ya kuwa-cameroon!
 
Nadhani umewehuka. Ngeleja bado hawajahukumiwa hizo ni shutuma tu.

kwani mwisho wa shutuma ni nini? na pale alipokuwa anaambiwa busara itumike walimaanisha nini jamaa salama ya aachie ngazi tu ili afe kwa amani..
 
waacheni waje manzese, huku kuna teknik za kum-restisha in peace kwa kumlamba tu.
 
Back
Top Bottom