mambo ya kujikinga...

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Kila wakati jamaa akisafiri,mkewe alikua na tabia ya kumuekea condom kwa bag lake.jamaa akawa anawaza kwani vp tena.mke wangu anajua dili zangu ama niaje? Ikabidi siku moja amuulize mkewe kwanini ana mazoea ya kumuekea condom kwa bag.mke akamjibu kwa upole.c unajua mambo ya sikuizi.mie afadhali naona uwe nayo kwa kuwa chochote chaeza tokea na ukadanganywa na shetani so ni bora uiweke ili tamaa ikikuzidi uitumie.hapo utakuwa umejikinga na kunikinga pia mie kutokana na maradhi ya ngono.jamaa alijikuta ametamka kumbe mke wangu unanijali sana.basi niwekee tatu ili tujikinge vizuri zaidi.l.o.l
 
Hapo atakuwa kamwalalishia kutoka nje ya ndoa na sio njema kabisaa
 
Kila wakati jamaa akisafiri,mkewe alikua na tabia ya kumuekea condom kwa bag lake.jamaa akawa anawaza kwani vp tena.mke wangu anajua dili zangu ama niaje? Ikabidi siku moja amuulize mkewe kwanini ana mazoea ya kumuekea condom kwa bag.mke akamjibu kwa upole.c unajua mambo ya sikuizi.mie afadhali naona uwe nayo kwa kuwa chochote chaeza tokea na ukadanganywa na shetani so ni bora uiweke ili tamaa ikikuzidi uitumie.hapo utakuwa umejikinga na kunikinga pia mie kutokana na maradhi ya ngono.jamaa alijikuta ametamka kumbe mke wangu unanijali sana.basi niwekee tatu ili tujikinge vizuri zaidi.l.o.l

hapana na mimi nimebakiwa nazo mbili ambazo ntazitumia pindi ukiwa safarini, kwani hata mm najal
 
Back
Top Bottom