Sema ulipopata simu ya mkononi kwa mara yakwanza kipindi hicho kuna mobitel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema ulipopata simu ya mkononi kwa mara yakwanza kipindi hicho kuna mobitel

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, Nov 18, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi nakumbuka simu yangu ya kwanza ilikuwa Nokia ndefuuu nye mbamba nayenyewe nilipewa na Boss wangu eti yeye akanunua Nokia Ringo mimi akaniachia mche wa sabuni ukubwa upana sawa ila ulefu nikama lula moja hivyi la blue tena nakumbuka nilienda kulipia majani ya chai ndo zilikuwa office za mobitel nilishuka station nikaenda kwa mguu!!Dah hayo ndo nakumbuka kwa mara yakwanza mimi kumiliki simu!!je wewe?
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Siemens c25 aka kidole juu, line nilinunua 22,500/= enzi za 0714****** ila mbaya zaidi haikupita wiki nika-block PIN na PUK number na wakati huo hakuna ku-renew ilibidi ninunue line mpya ..Dah!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kwa cameruni,si maanishi mi ni mcameuni.laghasha na maana nili nunua uk.wiki end njema
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Daah Mkuu umenikumbusha mbali sana. Kampuni ya mwanzo ilikuwa Mobitel, nilinunua simu kwa dola 900. Lile Nokia kubwa, lenyewe lilikuwa ni analog. Call charge ilikuwa kwa dola. Ukipiga ama ukipigiwa walikuwa wanakata hela. Yaani huwezi amini mpaka leo ninayo nimeweka kumbukumbu. Lenyewe lina li area lirefu. Teh teh teh. Hawa jamaa walituibia kweli.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ilikuwa ni 0741 na sio 0714
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Simu yangu ya kwanza ilikuwa blackb sahv nina limche la sabuni. Dah! Mambo yangu yanarudi nyuma.
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehehe kama tz inavyorudishwa nyuma na ccm
   
 8. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi kipindi cha mobitel nilikuwa nagongea za watu skan walikuwa wanabana mbaya kumiliki cm ilikuwepo ya land line ya TTCL....Daaaa!!! nakumbuka sharti tulilokuwa tumepewa kama hiyo cm ya mezan ikiita kwanza ukipokea tu unasema Shikamoooo then unauliza wewe nani..Tehe tehe tehe nimekumbuka mbali sana, ila nakumbuka cm ya kwanza kutumia nilipewa na rafiki yangu ilikuwa Simens c35 then nikaja kupewa tena Nokia 6 button na sister now nina miliki Nokia E50 from my beloved sister.. Ni hayo tu
   
 9. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli mbongo Your Avatar prove that..Mkono kwenye naniiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!! mchana kweupeee wakati wenzio ni asbh ukikurupuka kutoka kitandan
  avatar50584_7.gif.jpg
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umeona eeh? Excellent hajambo?
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hata sijui yuko api?kanichunia leo siku nzima,labda katekwa na mama mchungaji,kupenda huku
   
 12. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  usikariri basi,kwani mchana ndo nini?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  pole jamani. Mapenzi uvumilivu. Lol.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Huyo anayekuulizia labda kamficha! Hujui maswali ya mjini eh? Unajibu tu anaendelea uzuri,lol
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mkwe unapost via mobile upo wapi? Lol.
   
 16. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mobitel walipoanza tu kuanzisha Simu Poa.Nikajichanga(Hela ya matumizia a-level) mpaka nikanunua na mimi mche mmjo.Nakumbuka ilikuwa nokia 101.Enzi zile Vocha ya bei rahisi ni Dola kumi (kama sh 7,000).

  nokia-101.jpeg
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  Siemens C 25 ... twanga pepeta ile.... ilikuwa inahusika sana
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Nimeanza matumizi ya simu simu unabeba na kimkoba kidogo kama unakumbuka vimikobaba vya kuwekea aftershave siyo nyie mlioanza nasimu unaweka kwenye mfuko wa shati??kasema nani??
   
 19. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi mara ya kwanza kununua cm ilikuwa nilipomaliza six 2005 baada ya temple nimejiandaa kwenda chuo, nilinunua cm moja ya Nokia alimaarfu jeneza, nilikuwa nashindwa kuitumia basi natuma sms empty kwa watu mpaka basi, sasa hivi namiliki c3
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dah!kwa hyo ulikua mshamba sio?
   
Loading...