huu mtihani jamani!

huu mtihani jamani!

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
155
Reaction score
83
Hebu niambie ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Ni takribani mwaka sasa hali yako kiuchumi sio nzuri kifupi umefulia vibaya,siku moja anakutembelea rafiki yako mkubwa mlioshibana,usiku akiwa amelala unaona tangazo kwenye tv kuwa anatafutwa na polisi zawadi milion 100, hivi utafanyaje hapo?
 
nampeleka nachukua mil 100.
Najua ntahonga tena 20-30 mil ili kumtorosha gerezani. Faida 70-80 mil.
Labda isiwe Tanzania rushwa ilikoota mizizi.
 
Kabla sijaenda kumlipua namuuliza kuna nini? Maana huenda ana zaidi ya hizo mil100, akisema alifanya makosa yasiyohusiana na wizi yaani hana kitu mfukoni namlipua fasta hata kwa laki1.
 
Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania. Siwezi kufa njaa dili limejilet. Mi namlipua fasta nizikombe hizo hela
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
cheki jibu la Valid Statement hapo juu,lipo swadakta!nikucheza na hesabu tu
 
1. Namchomea, afu tunagawana faida ukijumlisha na alizoiba (huyu atakuwa kaiba hela tu, kesi za mauaji hazina dau kubwa hivyo)
2. Nam_blackmail, natisha kwamba ... afu anaanza kunigawia
 
Hapo hakuna urafiki tena. Unampeleka fasta then unamuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom