Kumbe naweza kuweka new post kwa kutumia simu du

Nimepata shida siku nyingi mno siwezi kupost na mshukuru sana

Sasa na hii nayo ni siasa?
Hilo ni jambo jepesi kabisa, kwa faida ya wasiojua. Ukishalog inn, nenda sehemu iliyoandikwa home click, itatoa majukwaa. Utachagua jukwaa unalotaka kupost thread yako, mf matangazo madogo madogo unafungua utakuta juu kuna kiicon kimeandikwa new post, una click kisha inakuja page inayokuwezesha kupost whether ni tetesi, news alert au breaking news.
Ni hayo tu.
 
Heri yenu mlikuwa hajui kupost kwa cm mimi nimechoka kupost kutumia cm
 
Namshangaa anaongelea soseji na juisi wakati hatujala ugali na pank siku nzima.
Simu zenyewe kwa hisani ya kampuni unaitumia huku unaogopa usije ukalegeza batani afu wakakukata kwenye mshahara. Msituone tuna tunacheka tuna mengi vichwani.

Hahahahahaha kongosho
Umeniacha hoi lohh..
 
Asanten kwa michongo yenu lakini kaeni mkao wa kula kupata mabrek news motomoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom