Nimeshindwa kufanya maamuzi.

Nimeshindwa kufanya maamuzi.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,369
Nipo kanisani,ni mda wa sadaka,kuna roho inaniambia nitoe sadaka,
halafu kuna roho nyingine inaniambia nisitoe sadaka halafu niende kunywa nayo supu nijenge afya.
dah sijui niheshimu roho ipi.
 
tenda lillilokupeleka hapo
acha mawazo ya supu
usichat kanisani
 
wewe ni ibili katika watu wa mungu anawezaje kuchat kwenye mtandao hali kadhalika uko ndan ya kanisa kweli nakuambien anayeshika jembe huku angalia nyuma huyo si mkulima
 
Na utoe sadaka ukiwa unamaanisha,na utubu hiyo dhambi ya kutokuwa na msimamo na nyingine ulizo nazo.
 
Nipo kanisani,ni mda wa sadaka,kuna roho inaniambia nitoe sadaka,
halafu kuna roho nyingine inaniambia nisitoe sadaka halafu niende kunywa nayo supu nijenge afya.
dah sijui niheshimu roho ipi.

una matatizo makubwa kijana
simu ibadani ya nini
 
wewe ni ibili katika watu wa mungu anawezaje kuchat kwenye mtandao hali kadhalika uko ndan ya kanisa kweli nakuambien anayeshika jembe huku angalia nyuma huyo si mkulima
teknolojia mkuu
 
huyu moungo hayupo kanisani au kakaa nje halafu anasema yuko kanisani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom