Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
kama hatajuaoana kwanini unifuatilie kiasi hicho?kila saa huniamini mpaka mi mwenyewe najiona kama nalindwa.
kwani huwezi kuniamini bila kunifuatilia?nikikuambia nakupenda kwanii usiniamini?hivi utaweza kunilinda?
sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiii
 
Mwanaume kukaba muhimu! Mjini mijizi mingi!
 
Hehehe,ndo anahangaika kujificha. Manake afuatwa kila mahala hadi msalani! Kha! Kupendwa kwingine!

hahaha mbwa ukimjua hakusumbui lakini,,pole zake ajue tu kuwa inavyoonekana nae wala si mwaminifu.
 
Kulinda suna, mipaka pori mingi.
Ndo basi tena kubali tu, siku hizi wamama wanakaba hadi penati
 
Back
Top Bottom