speed governor ya kupunguza au kuacha kupenda ulifungiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

speed governor ya kupunguza au kuacha kupenda ulifungiwa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gervase, Nov 19, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ulianza lini kupenda? Mi la tano nilimwandikia barua msichana nikamwambia ntampenda mpaka ziwa victoria likauke. Akanipeleka kwa ticha (akampa na hiyo barua). Kila mwalimu aliyekuwa anasoma hiyo letter ananicheka sana mpaka naona aibu. Kisha ticha akanichalaza fito kama 50. Ni miaka 20 iliyopita. Kimsingi mwl alinifungia speed governor ya kupenda, nilifanikiwa kuifungua baada ya kumaliza chuo wakati wa kusubiri ajira (nikiwa jobless kama hawa walimu ambao serikali imegoma kuwaajiri) ...lete habari na kwako ikaweje...
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Mi nilianzia nyumbani kwa jirani. Hii wakati bado niko vidudu. Nilikuwa namsarandia hausigeli mmoja hivi anaitwa Flora.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani nilianza nikiwa bado mimba, wakati nilikuwa nakamind kavulana ka mpangaji kalikuwa kana miaka 3.

  Bahati mbaya walihama nikiwa sijaweza ongea, kwa hiyo sikukatemea sumu zangu.

  Ni miaka 34 iliyopita, jamani first love is pawafu.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahaha
  loohh hiyo ya ziwa victoria ndo nasikia leo .........
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Siku moja thread lukuki!! Acha hizo ww.
   
 6. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nilimwandikia kijibarua kumuomba awe wangu kwakuwa kwao palikuwa mbali nilikwenda kwa baiskeli nikampatia alicheka akafurahi hapo 2po la tano basi darasani akawa ananilook sana kisha kuwa eleza rafiki zake. Mi nikaona mambo si swari then nika piga chini.
   
 7. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he full aibu......nilikuwa nakamendea kabinamu kangu
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  Jamani nyie watu,mbona mapema FLY umeamua kuchekesha ee lolz!
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa, aisee hii ni funga kazi, duh...!
   
 10. g

  gervase Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr. Chichi, dah! Kumbe mapenzi ya watoto wadogo hayana cha huyu ni dada au shangazi?. Usinikumbushe, najua hata dada zangu wanaikumbuka hiyo michezo ya kujificha na kupeana zawadi.
   
Loading...