sababu 3 za kuichukia chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sababu 3 za kuichukia chadema

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kadamfu, Nov 21, 2011.

 1. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema kwamba udini ulitumika sana ktk kutafuta uongozi ndani ya cdm.PIA ni chuki yao ya wazi dhidi ya uislamu na waislam[wanawachukia kikwete na mwinyi ,wanawapenda mkapa na julius] 2:UMAARUFU WA KIJINGA.hili la umaarufu limejionyesha dhahili kwa lêma kwa kitendo kujiweka gerezani kisha kutaka kulazimisha mahakama imtoe kwa nguvu[ujinga].PIA kama mtakumbuka cdm wålishawahi kuandamana kulazimisha bei ya sukari ipungue{wakati ule ilikuwa sh 2000}haikupungua .sasa bèi ya sukari 2500/=hawaandamani{wamepewa 10%} 3:HAKUNA DEMOKRASIA.hii ni pale m/kiti alipomtisha zito kwamba aondoe fomu ili mbowe acpate mpinzani. TO BE CONTINUED. Naomba kutoa HOJA.
   
 2. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huna lolote,kajipange upya kwani haujashawishi ki2 apo.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu ktk hiki ulichoongea hakuna mashiko kabisa, infact am not one of cdm followers nor ccm lkn hapa hapana!
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Unataka umaarufu wa KIJINGA eeh! hapa sio mahala pake nenda kaandike UHARO huu fb wew kuku
   
 5. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina nia ya kumshawishi m2,ctaki umaarufu ila naandika kile ninachokiamini ktk kweli mi co mwanachama wa chama chochote kile BUT UKWELI UWE MCHUNGU KUUMEZA ,MTAMU KUUTOA
   
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mh! Kuna watu kutwa kuchwa mnawaza udini! Waislam wanachukiwa n.k. Ndugu zangu mna kazi!
   
 7. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Kadamfu, nakuhakikishia kwamba nitakutafutia dawa ili upone maradhi yako ya kichwa yanayokusumbua, maana haipendezi ndugu yetu wa damu uwe na mawazo mgando kiasi hiki.
   
 8. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo lenu ni ushabiki uso na faida acheni ushabiki tafuteni kweli
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  bibie utalambwa!
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, wakati mwingine hata kutukanwa na kubezwa mnajitafutia wenyewe; au labda nayo ni njia ya kujitafutia umaarufu?!

  Hayo mambo uliyoyaeleza hapo hakuna jipya hata moja, yote yameshaletwa hapa jamvini yakajadiliwa, yakazungumzwa mpaka watu wakayachoka, sasa wewe ndo unaibuka nayo leo utafikiri ni mambo mapya vile! Ukitukanwa unasema umeonewa.
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  nashukuru kwa kunifahamisha. Nalog off
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,156
  Trophy Points: 280
  Ulionena ni ukweli mtupu na utwaona humu sasa hivi wataanza kupinga bila ufahamu. Hilo l udini linajulikana sana kwani tumesahau Sumbawanga?

  Umewashika pazuri, la Zitto na Mwenyekiti halina ujanja mpaka humu wanalijuwa sana, tena turufu kubwa ya Magwanda ni Zitto na wanafanya kila hila kumchokonowa, hivi wanafikiri bila Zitto wangeupata umaarufu waliokuwa nao?
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,735
  Trophy Points: 280

  Huna sababu yoyote ya maana ya kuichukia CAHDEMA zaidi ya kuwa fisadi au mtu ambaye unaneemeka kupitia migongo ya mafisadi. Mtu mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawezi kuichukia CHADEMA.
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  Mbona chadema wenyewe hawawapendi watanzania kwa kuwaongezea mzigo wa wabunge wa kuteuliwa ambao ni ndugu/marafiki na mademu zao! Nalog off
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo hoja? Akutukane nani wakati umejitukana mwenyewe?
  Angalau umekiri kuwa WENGI "watakutukana" which means unconsciously unakiri watu wengi wana uelewa.


   
 16. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kama kweli...! Naswitch user
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Akili kwenye ubwabwa tu!
  [​IMG]
   
 18. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kama hayo ndio ukweli unaoufahamu we ni mgonjwa usiyetibika hata india,hebu tumia akili na muda wako kufanya kauchunguzi kadogo acha kukurupuka jua huongei na vilaza wala wazee wa DSM na kama umetumwa kawaambie hatudanganyiki mjinga nkubwa
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 20. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  loh! loh! ...ndio maana wengi wanaomba muungano uendelee!!!
   
Loading...