Doctor injects cement in woman's rear.....

Doctor injects cement in woman's rear.....

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,153
Reaction score
9,271
onealmorris_400_17cir48-17cir4a.jpg

Kwa wale wanawake wanao plan ku tengenzwa..
Please be careful with cheap doctors. saa nyingine
ni bora kulipa fedha nyingi na kupata kitu kenye
uhakika.. na fanyeni research za hali ya juu kabla ya
ku decide kitu chochote..

maskini huyu dada kashindiliwa cement kwenye
mwili wake. na doctor ambaye hana hata leseni.. (Fake doctor )

kwa anaye taka kusoma zaidi link hii hapa..

Fake doctor injects cement in woman's rear - Yahoo! New Zealand News
 
This happened in Florida. The US is going to hell in a hand basket.
 
why you saying that .??

Because the US is a trailblazer when it comes to these fake bodily enhancements.

There are so many quacks in the US who prey upon desperate people (mostly women) who want to have these artificially enhanced body parts so they can look attractive.

I mean, $700.00 for a booty enhancement injection? Really? First of all, does that tranny (yes, he is man) even look like a doctor? Not to say that doctors have a particular look but that one right there....hell to the no. He doesn't look anything remotely close to a doctor.
 
Nilipoiona hii habari nilicheka sana.
'Doctor' mwenyewe cement yake imekaa upande! Ha ha ha
 
Silicone is more expensive than cement! The dr shld hire an engineer,mbona wanajengea maghorofa na yanabalance? Kha!
duhhhh
utabalance vipi cement mamito.??
sijui ndo plastic zimeisha...
 
  • Thanks
Reactions: RR
Halafu ni mwanaume huyo..anaitwa Oneal Ron Harris.

Ndio nilizidi kukata mbavu....ha ha ha

Yaani mtu ukautae 'uzuri' mpaka utoke fahamu ya kupima cha kufanya na kufanyiwa!

Huyo mgonjwa akishatibiwa booty aizamwe na maradhi ya kisaikolojia
 
Ndio nilizidi kukata mbavu....ha ha ha

Yaani mtu ukautae 'uzuri' mpaka utoke fahamu ya kupima cha kufanya na kufanyiwa!

Huyo mgonjwa akishatibiwa booty aizamwe na maradhi ya kisaikolojia

Body Image Disturbance ni mental illness.
 
Wehu wako wengi tu mwalimu, na hawajitambui. Kwani hawa wana tofauti na watumia mkorogo, bikira za kichina na makalio ya kupakaza dawa? Uwezo tu unawatofautisha!
Ndio nilizidi kukata mbavu....ha ha ha

Yaani mtu ukautae 'uzuri' mpaka utoke fahamu ya kupima cha kufanya na kufanyiwa!

Huyo mgonjwa akishatibiwa booty aizamwe na maradhi ya kisaikolojia
 
Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu
Body Image Disturbance ni mental illness.
 
Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu

Mgonjwa zaidi ni yule anayekubali kujibadili.
 
Wehu wako wengi tu mwalimu, na hawajitambui. Kwani hawa wana tofauti na watumia mkorogo, bikira za kichina na makalio ya kupakaza dawa? Uwezo tu unawatofautisha!

Tumeambiwa ni mental illness labda wengine huwa haijawapata sana au ndio hivyo tena access ya kufikia madokta haipo

Nasi bongo hatukomi hadi mtu maarufu ajipake mkorogo avuke ngozi yote ya uso
 
Hivi kati ya anae-demand mwenza wake abadilishe body parts, na anaekubali kujibadili kwa ajili ya mwenza, who is sick?
Kuna uzi ulikuwepo hapa kitambo kidogo wa mtu anatafuta boob job specialist in tz, na akashadidiwa na wengi tu! Hata humu wagonjwa wapo tu

Dunia ya sasa inavyojua kukushawishi, ukiwa mwepesi kidogo nawe unageuka muathirika
 
hivi hakuna vitu natural m2 anaweza fanya akaongeza ukubwa wa makalio?
 
mmezidi kwani kurizika na uumbaji wa MUNGU jamani,
kama ni hivyo na wele ndugu zangu mbona hamnenepeshi viguu vyenu.
 
Back
Top Bottom