Acheni tabia hizi

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,061
Jamani wapendwa nawaombeni mwache tabia ya kuwaingiza mjini,mtapotea cku 1..nasema hv kwa sababu leo nilikuwa wizara ya nishati na madini,kulipa bili yangu,sasa wakati nipo kwenye mstari,akaingia jamaa flani hv wa makamu..sasa yule jamaa akamwona mwizi wake ambaye ni mfanyakazi wa tanesco,ila alikuwa hana uhakika km ni yeye au co yeye..sasa kwa vile alikuwa na namba yake,akaipiga,cmu ikaita mfukuni mwa mdeni wake..jamaa kuona anashtukiwa,akaizima cmu yake..ila ilikuwa 2 late coz jamaa alishamshtukia..ghafla jamaa(mdai)akamvamia mdaiwa na kuanza kumkwida''leo lzm unipe laki 5 yangu,usawa wenyewe ulivyo mgumu huu''ni baadh ya maneno yaliyomtoka mdai...mtiti ilibidi uje u2lizwe na bosi m1 wa Tanesco..baada ya ku2lia,ndipo jamaa alipoelezea kisa kizima kuwa alimpa mdaiwa wake laki 5,ili aje amlipie tanesco deni lake liishe kwani alikuwa anadaiwa km m1 na ki2..sasa jamaa alivyopewa,akatokomea nayo moja kwa 1...ACHENI TABIA HZ WADAU,NAWAKILISHA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom