Mwaliko!

Mipesa

Member
Nov 19, 2011
32
3
Wana jf wote napenda kuwakaribisha kesho kwenye sherehe ya kuzaliwa kwangu, nitakuwa natimiza miaka 32. Sherehe itakuwa Sae karibu na tanesco mbeya. Karibuni sana wana jf
 
Sae ni jina la mtaa,tuambie ni ukumbi gani hapo sae!na kama utafanyia nyumbani tutafikaje?
 
Wana jf wote napenda kuwakaribisha kesho kwenye sherehe ya kuzaliwa kwangu, nitakuwa natimiza miaka 32. Sherehe itakuwa Sae karibu na tanesco mbeya. Karibuni sana wana jf

mkumbuke kwenda na vinywaji na vyakula vyenu. Wengine tupo mwisho wa dunia ila tunashukuru kwa taarifa.
 
Mipesa atahangaikia kwenye red kama ilivyo ID yake. ana mipesa mingi hajui aifanyie kazi gani zaidi ya kuwaalika JF woote kwenda kumpongeza kwa kufikisha miaka 32! aisee, ok. mtumie PM Husninyo akutimie nauli...usafiri wa ndege ni haba sana kwani huko ulipo?

mkumbuke kwenda na vinywaji na vyakula vyenu. Wengine tupo mwisho wa dunia ila tunashukuru kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom