Nauliza ili nipate kujuwa !

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
NILIJIUNGA HAPA JF NI MPINGA UFISADI NA KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WENGI!!!!!!!
LAKINI JAMBO AMBALO LIMENIKERA KUHUSU FORUM HII NI KUWA JAMBO LOLOTE AMBALO MUISLAMU MMJA AU TAASISI MOJA YA KIISLAMU KUONGEA WATU WANAWATUKANA WAIISLAMU WOTE KWA JUMLA NA KUDHALILISHA IMANI YAO KWA UKUMLA
UCHUNGUZI NILIOUFANYA SIJAONA HATA SEHEMU MOJA AMBAO UKRISTO UNADHALILISHWA
HIVYO NAOMBA NIELEZWE HII FORUM NI WAKRISTO TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

:ban::help: :noidea::yield: :noidea:
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,690
42,692
Mkuu huko unakokwenda siko, mambo ya MUNGU yanasitahili heshima na utukufu mkuu.
 

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,062
1,076
Ni kweli jukwaa ni la wakristo.nashangaa bado unafanya nini humu?
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,701
1,381
Mkuu ukiona thread au post inayodhalilisha mtu/dini/kabila kuna kitufe hapo juu kimeandikwa REPORT ABUSE kwa rangi nyekundu bonyenza na uwajulishe Mods na utaona wataifanyia kazi.Wewe mimi na kila mpenda haki achangie kuifanya JF iwe sehemu nzuri zaidi.
 

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Mkuu ukiona thread au post inayodhalilisha mtu/dini/kabila kuna kitufe hapo juu kimeandikwa REPORT ABUSE kwa rangi nyekundu bonyenza na uwajulishe Mods na utaona wataifanyia kazi.Wewe mimi na kila mpenda haki achangie kuifanya JF iwe sehemu nzuri zaidi.
thax uporotoo
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,423
12,666
udini ni mbaya kuliko maelezo kuna watu wamechanganya dini,hivyo kuikandia dini nyingine inakuwa ni mtihani.Nalog off
 

kisesa

Member
Apr 30, 2011
88
12
hivi ustad unafikiri majibu ya JM wote ni sawa?
mbona mengine ni vichekesho ktk JM
hamna UDINI labda kuna mautani tu
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom