Vijana wanaowategeneza Dada/Mama zetu kucha.

CtVKiLaZA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
301
37
Wanajamii.
Kuna vijana/wanaume wameamua kujiajiri katika mambo ya urembo. Wako katika saluni na wengine wanapita mitaani.

Utamukuta dada/mama kavaa sketi/gauni fupi kakaa kwenye kiti huku baadha ya sehemu zake za mwili zikiwa nje. Kama mapaja, matiti, mgogo etc. Wakiti vijana wakiendele kuwatengeneza kucha za miguu au nyewele.

Je hii ajira haiwezi ikawaathiri Vijana/wanaume kisaikolojia??? Maoni plz.
 
Hii ni kazi kaka, anayekaa ovyo anaitaka huyu apewe. Na vijana hao wana mambo mengi si nywele tu hivyo lazima tukubariane na hali hii na kama huwezi zoea mkataze mke wako asiende huko kama mimi nilivyofanya. Masai umeshawaona nyoka ananing'inia harafu mmama kaigeukia anasukwa. Dunia hii we acha yetu macho ....
 
hakuna chochote hapo,hii ni biashara inayofanywa katika nchi nyingine na madume ya mbegu bila wasiwasi wowote,kumfuata Cameron ni hiari yako kaka,haifungamani na kuwapaka rangi kucha zao.
 
huyo nyoka huwa asumbui. Au na yeye anajua yuko ofsi kwa hiya anatulia.
 
hakuna chochote hapo,hii ni biashara inayofanywa katika nchi nyingine na madume ya mbegu bila wasiwasi wowote,kumfuata Cameron ni hiari yako kaka,haifungamani na kuwapaka rangi kucha zao.

je hakuna madhara ya kukusa hisia ukiwa na mpenzi/mke??
 
Nia jira tu, kama wale dada zetu wanaotufanyia massage jijini. Wale ukitaka huduma zaidi hela inaongea. Vilevile, kwa vijana hao mama akitaka huduma zaidi, hela inaongea. Hamna tatizo kabisa
 
mmh! kazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom