Mangi atatizwa na ukurasa!

Judgment

Member
Nov 1, 2011
45
13
Ilikua ni cku ya haruc Mangi Tarimo anaoa, mama wa bi haruc akifahamu kua bintie alikua ni mwembamba kimbaombao wakupigiwa mfano, hivyo alihakikisha cku zote za kbl ya haruc Mangi afikapo ukweni kuwasabahi bintie alikua akivaa chupi iliozungushiwa magazeti kibao lengo kumfanya bint kuonekana nae "saburi" analo ilipofika cku ya bint km ilivyo ada chupigazeti iko mwilini! Ukafika mda w mangi kula mzigo ndipo alipoanza kusambua gazeti baada gazeti! Alipofika gazeti la 9 Mangi hoi akavuta cm na kumpigia ma'mkwe "Mama tafazali nishamfungua mwanao kurasa hd nimechoka hebu mnisadie kuokoa mda c uniambie tu "ki2mbua" (k**a) ya mwanao iko ukurasa wa ngp"
 
Mfffffffffffffffffhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
Ssssssssssssssssssshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!
Kkkkkkkkkhhhhhhhhhhhhhh
 
du hiyo kali lakini inaonyesha mangi anajuwa kitumbua ni nini mwingine angejuwa ndo utaratibu kwanza usome magazeti then ndo upate chakula.
 
Ilikua ni cku ya haruc Mangi Tarimo anaoa, mama wa bi haruc akifahamu kua bintie alikua ni mwembamba kimbaombao wakupigiwa mfano, hivyo alihakikisha cku zote za kbl ya haruc Mangi afikapo ukweni kuwasabahi bintie alikua akivaa chupi iliozungushiwa magazeti kibao lengo kumfanya bint kuonekana nae "saburi" analo ilipofika cku ya bint km ilivyo ada chupigazeti iko mwilini! Ukafika mda w mangi kula mzigo ndipo alipoanza kusambua gazeti baada gazeti! Alipofika gazeti la 9 Mangi hoi akavuta cm na kumpigia ma'mkwe "Mama tafazali nishamfungua mwanao kurasa hd nimechoka hebu mnisadie kuokoa mda c uniambie tu "ki2mbua" (k**a) ya mwanao iko ukurasa wa ngp"
sikuwa mimi bhana...aagh!
 
Back
Top Bottom