hii imenitokea leo, sio nchi 2 had wananchi ni maden kwa kwenda mbele.....

obsesd

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
1,225
525
Nafika posta on ma way to job nagundua nimesahau simu, sasa nikamuona mdada kasimama (simjui) nikamwambia naomba simu yako nimtaarifu mtu aje nayo akasema hana vocha.....

Ikabid ninunue lol, duh kuweka tu ASANTE KWA KULIPA DENI LAKO LA TIGO UMEBAKI UNADAIWA 450.

Nilichoka aisee basi nikamwambia binti nenda nimefika ofisini now, natafuta ustaarabu mwingine.

Maden si nchi tu hadi wananchi lol....
 
Hahaha,pole sana mkuu. Sasa imefika wakati hata ukipata mchumba umuulize kama ana madeni kiasi gani! Sasa si ungeweka buku tu ukamlipia deni lililobaki na wewe kupiga simu? Lol
 
mmmh yan hakunambia hata kama anadaiwa nilijua namwambia 2 m2 naniletee done so mia 5 ingetosha lol...
 
umenifurahisha sana. Jana nimemuona mmoja mzuri kweli ananunua muda wa maongezi wa shilingi 200 kwa Mangi kwa tigo rusha!
 
umenifurahisha sana. Jana nimemuona mmoja mzuri kweli ananunua muda wa maongezi wa shilingi 200 kwa Mangi kwa tigo rusha!
Wakati huohuo kuna wapuuzi wanasema "Tumethubutu, Tumeweza na tunazidi kusonga mbele"
 
Kwanza una bahati hata amekupa hiyo simu,,, kwangu mimi siwezi kumpa mtu simu eti amtaarifu mtu flani ama ambeep.......Kuna issue ilitokea nikiwa Nairobi kikazi kuna dada tulikuwa tunafanya nae kazi...

Siku moja alipanda matatu akitokea Job, sasa akapanda na mdada mwingine pale hawajuani... Njiani yule dada mwingine akamwomba simu yake ampigie jamaa yake wakutane mahali.

Yule jamaa kumbe alikuwa ni Jambazi sugu aliyekuwa akitafutwa na serikali kwa muda mrefu, na walikuwa wakimtrace nyendo zake nani anawasiliana nae na ni wapi.

Basi dada yetu akampa simu yule shost yake ( wa kukutana kwa matatu), akampigia jamaa yake na gari ilipofika kituo fulani yule dada akashuka na akakutana na jamaa yake.

Sasa siku moja tupo kazini tulishangaa usalama wa taifa wanaingia ofisini na kumwita yule dada na ghafla akapigwa pingu ( japo si kawaida kwa wanawake kupigwa pingu).

Toka siku hiyo yule dada alikaa Rumande for six months mpaka alipopatikana yule jambazi ( aliuliwa na Askari)......So tokea hapo mimi simpi mtu yeyote simu yangu ampigie mwingine Nisiyemjua.

Kwa msaada nitampatia pesa akapige kibandani lakini sio simu yangu
 
Hivi mie hili neno hunikwaza, eti dada mzuri kweli afu huna hela.
Aliyewaambia uzuri ni pesa nani?

umenifurahisha sana. Jana nimemuona mmoja mzuri kweli ananunua muda wa maongezi wa shilingi 200 kwa Mangi kwa tigo rusha!
 
Duh! nikisikia hilo neno sehemu zangu husinyaa kabisa, kumbe wa huko wanafanya kazi.
Hivi kwa nini TZ hatujafikiria ku-outsource hiyo huduma kwa wateja?

Sasa siku moja tupo kazini tulishangaa usalama wa taifa wanaingia ofisini na kumwita yule dada na ghafla akapigwa pingu ( japo si kawaida kwa wanawake kupigwa pingu).
 
Ha ha ha, you have made my day.
Kama muvi kumbe ni maisha ya wadanganyika.
 
Dah,umenichekesha sana lol!
Huyo dada naye anamakusudi si angekwambia ana anadaiwa!
Pole mwaya,ndo basi tena!
 
unadaiwa kodi ya nyumba
unadaiwa voda
unadaiwa tigo
unadaiwa road lisence
unadaiwa kwa mangi
unadaiwa benki
unadaiwa ada
Duuuh...
 
unadaiwa kodi ya nyumba
unadaiwa voda
unadaiwa tigo
unadaiwa road lisence
unadaiwa kwa mangi
unadaiwa benki
unadaiwa ada
Duuuh...
Mimi pamoja hivyo hapo juu_bado ninadaiwa bar.....
 
umenifurahisha sana. Jana nimemuona mmoja mzuri kweli ananunua muda wa maongezi wa shilingi 200 kwa Mangi kwa tigo rusha!
Akiwa mrembo ni lazima awe na mihela see.........au ameshindwa kutumia urembo wake kupata mihela!!
 
Duh! nikisikia hilo neno sehemu zangu husinyaa kabisa, kumbe wa huko wanafanya kazi.
Hivi kwa nini TZ hatujafikiria ku-outsource hiyo huduma kwa wateja?

hapo kwenye blue &bold ni sehemu gani hizo zinazosinyaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom