Weekend Haisomeki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weekend Haisomeki

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Dec 2, 2011.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Madadiito na mamamiito,

  Kikao cha weekend hii wapi?

  upande wangu mfuko hauko sawa.

  Nataka ningalie wenye kikao karibu na Home niwapige mzinga.

  Bebii, wherever you are. Please nipe Mchongo- Am desperately Broke.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna kikao cha Nyam Chom kwa The Finest... we njoo tu.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Dah pole sana Vivian ungekuwa karibu na mie ningekupa mchongo wa weekend uka enjoy vya kutosha,,
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mbona benki zote zishatema?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,062
  Likes Received: 24,061
  Trophy Points: 280
  Karibuni kwenye ukurasa huuu mpya tujadili na kuongelea kwa undani zaidi
  kuhusu njia zinazoweza kutumiwa na wanawake, wasichana kuzuia ujauzito. Karibuni sana.

  Nilitaka kusema njia zitumikazo kwa uzazi wa mpango. Ila kuna wengi wengineo
  ambao wako single kwa uchaguzi wao wa maisha, wanasubiri kuolewa, wako masomoni etc.
  Kwa hiyo nikaona "uzazi wa mpango" si sahihi kutumia sababu bado hawajafikia kupanga uzazi. ..

  Anyway kama wote tujuavyo njia bora kuzuia ujauzito ni moja tu Kutokufanya sex(mapenzi)
  Ila njia hii ni wachache sana tena sana wanaoifuata. Ndio nikaona nianzishe uzi huu tujuzane na kufundishana
  njia nyingine nyingi, na zipi za kutumia na kwa muda gani na ni nini madhara ya njia hizo za kuzuia ujauzito.

  1. Condom.
  Condom ni njia ya kwanza kabisa ninayoipendekeza kama sote tujuavyo inasaidia kuzuia
  maambukizo ya virusi na pia kuzuia ujauzito. Ni vema kujifunza jinsi ya kutumia condom.
  Ni rahisi sana kutumia condomo za kiume , Pia ni rahisi sana kutumia condom za kike .
  [​IMG] female condoms. (tuta ongelea zaidi kuhusu hili as we go on )

  2.EMERGENCY CONTRACEPTION. or ( morning after pill)
  Hivi ni vidonge ambavyo vinatakiwa kuchukuliwa massa 72 . Baada ya kufanya sex bila protection ya aina ye yote. ila ni vema kuchukua mapema zaidi. wengi hupendekeza kuchukua ndani ya masaa 24 baada ya sex.. Hii ni back up system kama condom ikibasti, umesahau kuchukua vidongo. Na zaidi ni kwa wale waliolzamishwa kufanya tendo la ndoa bila ihari yao, au kama unawasiwasi u mjamzito na hauko tayari . Huwa inapatika kwenye maduka ya dawa baridi. Na inategemea ni muda gani umepita tangu umefanye sex. Kama ni ndani ya masaa kumi na mbili huwa unapewa kidonge kimoja tu basi .

  3. Vidonge
  Kuna aina nyingi ya vidonge vya uzazi wa mpango . vidonge hivi unatakiwa kuchukua kila siku kama ulivyoa agizwa
  na doctor . Vidonge huwa havifanyi kazi kama umetapika tu baadaya kuchukua au kama una diarrhea. vidonge pia vina
  Side effects mfano, kuongeza uzito, kuumwa na kichwa , na wengine huvimba matiti. Vidonge vina athari tofauti kwa
  kila mtu.

  4.Depo- Provera ( Injection )
  Kama hutaki usumbufu wa vidongo , Injection ni njia nyingine unaoweza kutumia. Injection inazuia ujauzito
  kwa miezi mitatu . Kila baada ya miezi mitatu unatakiwa kupata dozi tena.( Kwa hiyo mara nne kwa mwaka) . Injection
  ina side effects pia, period huwa chache na nyepesi sana na baada ya kutumia injection kwa mwaka waeza usione tena Period yako. na kuna wengine ni kinyume kabisa nikimaanisa wanakuwa na period nzito lakini inatoka kama nukta , nukta , haiko mfululizo.Haya yote hutoka na vitu kama uzito wa mwili pamoja na Lishe .
  [​IMG]

  5.Diaphragm/ Cervical cup
  Hii ni njia nyingine ya kuzuia ujauzito . Lazima iwe saizi yako . Maana ikiwa kubwa au ndogo haitafanya kazi. Kwa hiyo
  doctor atakaye kupa hii atakueleza maelezo yote jinsi ya kutumia . nieleze kidogo jinsi ya kutumia huwa inakuja na na gelly
  inayoitwa spermicide. Hiyo unaweka kuzungungukana na pia katikati ya diaphragm au cervical cup, baada ya hapo unaikandamiza iliupate shape ya
  kama pembe nne . unaingizaa ikulu kwa kutumia kidole au videle. Unaweza kuiweka masaa kadhaa kabla ya sex. ila unatakiwa kuiacha hapo kwa masaa sita baada ya kujamiiana. uzuri wa hii unatoa na kuiosha na kutumia tena na tena. Tatizo kubwa ya hii ni kuweka
  inapotakiwa. Ila doctor atakaye prescribe hii atakupa instraction zote na pia atakuonyosha jinsi ya kuweka.
  [​IMG]hii ndiyo diaphragm. [​IMG] Na hivi ndivyo inavyokaa.


  6. Implants
  Hii njia huwa inatumia na wanawake wengi ambao Hawataki kupata ujauzito kwa muda mrefu. pia hutumiwa zaidi
  na wanawake ambao hawataki usumbufu wa vidonge, diaphragm/Cervical cup au injuctions. inaonekana kama kama kijiti
  kidogo sana cha plastiki. Huwa kinaweka chini ya nyama ya mkono "upper arm" ambapo ina release the contraceptive steroid .
  Inazuia ujauzito kwa muda wa miaka mitatu mpaka mitano. uzuri wa hii kitu unaeweza kuondolewa saa yeyote ukiamua kupata ujauzito. Side sffects, mzunguku utabadilka, kuongeza uzito etc.
  [​IMG] Implanon/ Implants.

  7. IUD (intra-uterine device) or T shape.
  Hii ni kwa wale ambao Hawataki kufunga kizazi au wale ambao hawana mpango wa kuwa na mwana kwa muda mrefu zaidi . nikimaanisha kuanzia miaka mitano mpaka kumi na mbili . hichi ni kitu ambacho kina T shape kinaweka ndani ya uterus huwa unawekewa na health-care professional kama ilivyo Implants. uzuri wa hii pia ni kama ya implants . wanaweza kuiondoa muda wowote upendao. Ni vizuri kuangalia kila mara moja kwa mwezi kuona kama bado iko wima. ni rahisi sana kuangalia. Kidole tu.
  Huwa utahisi maumivu baada tu ya kuweka . masaa machache baadaye hutahisi kitu , kawaida tu .


  [​IMG]  Kama nilivyosema hapo mwanzoni njia bora ya kutokupata ujauzito ni kutokufanya sex. lakini kwa dunia tunayoishi ni bora kupeana elimu kuliko ku protend kila mtu ni mtakatifu. Kuanzia njia ya pili mpaka ya saba haizuii maambukizo ya ukimwi bali mimba tu. kwa hiyo unaweza kutumia CONDOM pamoja na hizi contraceptives kwa pamoja..

  Na nilitaka tu kuonyesha si lazima tu vidonge kuna njia nyingi nyinginezo za uzazi wa mpango pamoja na kuzuia ujauzito. Binafsi si
  support abortion kabisa. kwahiyo nasema ni bora ku ZUIA kuliko KUTOA.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bebii kafulia toka alambwe mkono wake na invisible long time no see her..
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  babu bwana back to topic
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mamitoo mlimani city leo club e pako na shangwee!!
   
 9. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,358
  Likes Received: 6,700
  Trophy Points: 280
  mbona mm sifanyii benki!kwa wahindi ngoma bado nzito!!
   
Loading...