mmmh hii jam bongo nouma

mmmh hii jam bongo nouma

obsesd

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
1,225
Reaction score
530
jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh
nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
 
Jam hadi kwa waudumu wa baa ( kwa wale wazee wa kuvizia mambo flani flani hivi ya kikubwa)
 
Safi sana, inapendeza kuona watu wana mwamko wa kujua afya zao
 
angalia mkuu hiyo jam msiishie kwenye ushauri nasaha,
halafu kwenye majibu mkala kona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom