Uchawi- Mtwara Mjini

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Aagh jamani uchawi upo!! Hapa Mtwara sasa hivi kuna jamaa wapo baadhi wanatokea msumbiji huko, wanatoa uchawi. Wameanza Mikindani huko, wazee wameumbuka sana, kuna nyumba wametoa misukule zaidi ya 47, na pale hotelini mikindani ametolewa msukule ukisimamisha kila gari ili watu wakale kwenye ile hoteli.
Kikubwa zaidi hawa jamaa wameonyesha "Super Market" ya uchawi iliyoko mikindani. Wanadai ina kila kitu cha uchawi kipo pale na vinauzwa bei mbaya kinoma.

Jana sasa wamekuja mjini maeneo ya "Kianga"..ni maarufu sana kwa ushirikina...kidume sikuwa nyuma, nikatia maguu kushuhudia yaliyojiri, dah jamani uchawi kweli upo, nimewaona jamaa wanafukuzana na pembe zilizojaa vitovu vya watoto...yaani jana sijalala...
Cheki baadhi ya picha hazipo clear coz ni za simu!!

2lb0ur.jpg
vimvdi.jpg
25u0cw9.jpg
jgtd3n.jpg
2yllkoy.jpg

Kulikuwa na nyomi la watu kama mkutano wa CHADEMA vile, matunguli yakiwasumbua sana kuyaona wanavua nguo na kubaki na boxer tu, dah jamaa wanapiga kazi.

Kuna tetesi nimesikia kuwa kuna waziri flani wa ofisi ya rais na management amewaambia polisi hao jamaa wasiende kijijini kwao, wapigwe stop...so ngoja so vitop wana hofu sana ya kuumbuka hapa mjini.

Nawakilisha!!

UPDATE:

LEO JAMAA KAFUKUA HIRIZI MOJA KUBWA MBELE YA NYUMBA, HIYO HIRIZI INA MAPINGIRI 9, KWA MAELEZO YAKE AMESEMA KILA PINGIRI MOJA IMEONDOA/IMEUA MTU MMOJA(INGAWA HAKUWATAJA MAREHEMU) NA CHINI YA HIRIZI KULIKUWA NA CHUPA NDOGO YA DAMU NA AKASEMA NI KWA WALE WADADA WANAOBLEED NA WAKAKA SPERM ZAO ZIPO HUMO...MAELEZO YAKE YALIKUWA MAREFU KIDOGO.
NAWAKILISHA.

15nrcld.jpg
35arvgm.jpg

Hapa wamefanikiwa kukamata tunguli moja lililokimbia toka ndani ya nyumba likashikwa chini ya mti kama unavyowaona hao jamaa. Tunguli likivuja damu tu...!!

2vbwraf.jpg
 
sasa hapo msukule wako wapi? halafu usisahau ya kuwa mazingaombwe pia yapo.Nalog off
 
Hapa wamefanikiwa kukamata tunguli moja lililokimbia toka ndani ya nyumba likashikwa chini ya mti kama unavyowaona hao jamaa. Tunguli likivuja damu tu...!!

2vbwraf.jpg
ndugu michezo midogo tu hiyo wala isikuumize kichwa.Nalog off
 
Watu wanaogopa kuchangia wakidhani watapigwa Tunguli, plz Mods msiiweke hii coment yangu
 
hi ndo mtwara bwana kwa wale wasioijua, wanaopuuza hawapo mtwara, tuliopo tunaona, kusini nourmer!
 
Mkuu! Ina maana hao jamaa toka msumbiji wamekuja kwa kazi hiyo tu? Ama kuna mtu amewaleta aje kuwaumbua wachawi? Ingetakiwa wafike sehemu mbali mbali hapa Tanzania ye2 maana nasikia watu wanawamiliki watu wengine kimiujiza hapa Nchi nyakati hii. Endelea ku2juza yajirio Kamanda!
 
vp maeneo ya shanghani? kuanzia Veta kupita mpaka makonde beach club, chuo cha utumishi, ikula mpaka Tumaini university?

makubwa hayo.
 
Hawa jamaa huwa wanaitwaga...yaani mnakaa kikao wananchi mnaamua kuwaita kwa kibali cha serikali(nasikia kikwete kawaruhusu), halafu inabidi mupate kibali cha watendaji wa kijiji...sasa hapa ndipo kuna kikwazo,(hawa jamaa mara nyingi wanakataaga, mpaka muwatishie kuwaua ndio wanatoa kibali). So nadhani ndio hivyo:spy:
 
vp maeneo ya shanghani? kuanzia Veta kupita mpaka makonde beach club, chuo cha utumishi, ikula mpaka Tumaini university?

makubwa hayo
.
Duh kumbe unayafahamu hayo maeneo? Huko Kianga ni kabla ya Veta, so nadhani wakimaliza huku wataenda na huko, bt huko pia kuna vigogo wanakaa, sasa sijui kama watapata kibali
 
sasa hapo msukule wako wapi? halafu usisahau ya kuwa mazingaombwe pia yapo.Nalog off
Ndugu hata mi mwenyewe nikidhani ni mazingaombwe, lakini mazingaomwe gani yanapita nyumba hadi nyumba huku wenye nyumba wakiaibishwa?? na badae wananyolewa ama kunyeshwa dawa...u cant be seriaz. nalog off
 
ndugu yangu inaonesha hata mimi nikikujua naweza nikakuwasha,hao ndio wanaitwa WASHAWASHA,kuna njia nyingi za kumuua paka,hapo ukweli hakuna ni zengwe tu,stuka! Nalog off
 
je hao waganga toka msumbiji wanakibali cha kufanya hyo shughuli nchini.
 
Ndugu hata mi mwenyewe nikidhani ni mazingaombwe, lakini mazingaomwe gani yanapita nyumba hadi nyumba huku wenye nyumba wakiaibishwa?? na badae wananyolewa ama kunyeshwa dawa...u cant be seriaz. nalog off

KAKA....HIII MICHEZO HUFANYIKQ KILA MWAKA, ALAF UNAENDA HADI VIJIJINI KULE KITAYA, MBEMBALEO, NANYAMBA NA KWINGINEKO.......

BASI, HAO WAGANGA NI MAWIZI.....wanapga pesa na mazao ya wakulima...tena wanagonga.madem ile mbaya huko vijijini......aibu!!!!!""$$"@#$
 
je hao waganga toka msumbiji wanakibali cha kufanya hyo shughuli nchini.

Ndugu degedege...hao jamaa wangefanya kazi hizo bila kibali wangeuliwa, tena nasikia kibali cha sasa kimetoka ikulu ya kikwete, kwahiyo watendaji wanapitisha tu bila zengwe
 
KAKA....HIII MICHEZO HUFANYIKQ KILA MWAKA, ALAF UNAENDA HADI VIJIJINI KULE KITAYA, MBEMBALEO, NANYAMBA NA KWINGINEKO.......

BASI, HAO WAGANGA NI MAWIZI.....wanapga pesa na mazao ya wakulima...tena wanagonga.madem ile mbaya huko vijijini......aibu!!!!!""$$"@#$

hahaaaaa....lol, u make my day!! Wezi kivipi sasa, yaani mambo wanayofanya ni ya uongo ama baada ya pale wanaenda kuiba??teheteheeeh, kama mademu yanawashobeka acha watafune tu man!!
 
Hao wasanii tu hawana lolote, wanatengeneza jina wapate wateja au umesahau yale ya Dk. Manyaunyau wa Gongola mboto sasa anamiliki MaDCM kibao ya Gongolamboto Posta
 
Back
Top Bottom