Oya kuna watoto wa uswahilini walikuwa wakiongea, maongeza yao yalikuwa hivi.
Wa1:Baba yangu aisee ni mwoga!
Wa2:Kivipi?
Wa1:Jana kaingia chooni kumuona mende akapiga kelele mpaka mama akaja...
Ndugu yetu umepotelea wapi siku hizi? Watu tunamiss sana maujanja yako kuhusiana na ving'amuzi?
Huwezi kututoka kimya kimya hivi mkuu, angalau basi hata ungeaga. Au umeamua kubadili ID?
Mara nyingi tunakutana na watu humu JF ambao tunapishana kwenye mada jamvini ghafla unaona wanaamua kukutumia PM, vile vile mtu (nje ya JF) mmebadilisha contacts kwa sababu moja au nyingine, alafu...
Hawa jamaa ni kiboko. Wamejenga chuo bomba, wamemaliza kazi salama lakini sasa vitoto vya rangi mbili vimeanza kuonekana mitaani. Dada zetu nao hawana dogo, walivyoona wachina hawa ni watu wa...
A woman takes a lover home
during the day while her husband is at work.
Her 9-year old son comes home unexpectedly,
sees them and hides in the bedroom closet to watch.
The woman's husband also...
Al shabab waliwateka mabinti wawili na bibi yao mwenye miaka 80, al shabab wakawaambia mateka kuwa adhabu yao ni kuwala uroda.
mabinti wakaanza kulia kuwa hawana shida ila bibi yao mzee...
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.
Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua...
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.
Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja...
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa...
Swali la kwanza(marks 40)
Jinsi ya kumwingiza simba ndani ya friji.
Fungua friji halafu msukume ndani na ufunge mlango wa friji.
Jinsi ya kumwingiza twiga ndani ya friji.
Fungua friji na umtoe...
Tunajisifu kuwa lugha yetu inakua sana duniani. Na wakati mwingine tunajisifu zaidi tunapoona mataifa makubwa kama CHINA na USA yanapo jikita zaidi kukijua KISWAHILI.
Lakini kwa mtazamo wangu...
Habari zenu wana JF,
Hongereni kuumaliza mwaka (bado wiki 2), ni jambo la kumshukuru Mungu na kusherekea kidogo. Mimi kwa upande wangu baada ya kufanya hivyo naanza kukuna kichwa kwasababu ya...
There are basically 7 TYPES OF GIRLS
1. HARD DISK Girls:Remember everything forever.
2. RAM Girls:Forgets about you the moment you turn her off.
3. SCREENSAVER Girls:just for looking.
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.