ndege za kivita zinazopita-pita hapa mjini....

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamani nilikua ninauliza kua hizi ndege zinazo pita pita hapa mjini ni zetu ama ndio nchi imeuzwa na hatujapewa chetu kama temba anavyosema...?
 
soma kalenda utaelewa !

kwa kalenda hivyo hivyo ndio nchi zinavyo vamiwa..! watu wanakua wanajua kua ni mambo ya kawaida kuadhimisha kitu flani kumbe ndio mnaingiliwa hivo..! u must be careful na mambo kama haya
 
Back
Top Bottom