Sekondary ya mataira. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekondary ya mataira.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Senator p, Nov 6, 2011.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna sekondar moja iko mjini kahama shinyanga,jna limehfadhiwa.Yaani ile sekondary ni ya mataira director wa shule elimu yke darara la pili,mkurungenz wke hakusoma,mkuu wa shule ana digrii lakin hana maamuz yoyote hta km mwanafunz hafai ktk taaruma,second master hana sfa wala uwezo na huwa anavuta bng ktk vyoo vya walimu.Yote tisa + 1=91,academic & ndio wenye busara.Tatzo hawana maamuz,wenye maamuz ni mwasibu,ambaye nae hajasomea uhasibu.
   
 2. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Md kuna lugha nyingi ambazo unazizuia lakini kama mtu je ametumia lugha ya kumkashifu binadamu mwenzake kama vile kutumia neno 'taahira' kubeba uchafu au uwezo mdogowa kufikiria mtu alionao mie naona concept hiyo ni wrong kutumiwa katika kuelezea mambo machafu au uwezo mdogo wa kufikiria mtu alio nao. Kwani nielewavyo mtu 'taahira' ni mwenye ulemavu wa akili- 'means people with mild or severe interlectual disability and who may need support in learning living skills.

  Tusitumie lugha ngumu za kuwadhalilisha wenzetu ndugu yangu yawezekana ni ndugu yako au jirani yako au ndugu yangu au jirani yangu au mwanangu.

  Critical thinkers in here at JF never use abusive language, punguza makali.

  Nawasilisha.
   
 3. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kama umewahii kupitia walau shule ya msingi, na hapa kwetu TV na radio nyingi zinatangaza kwa kiswahili na hata magazeti yanaandika kwa kiswahili, na kiswahili ni lugha ya taifa lakini bado umeandika kwa kiswahili cha daraja hilo.basi chonde chonde usiende kuomba kazi TANESCO maana mgao wa umeme utaongezeka. Hahahaha!!!!!!!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  Speak Openly. Hebu itaje, hatuna muda wa majungu hapa JF hata kama ni utani
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mdau uliotoa huu uzi we nani kwenye iyo shule?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Saikoloj ipo poa sana mdau
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,957
  Likes Received: 20,288
  Trophy Points: 280
  Yeye ni msaidizi wa director na ndiye mlinzi mkuu
   
 8. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Duh! Hiyo itakuwa kubwa kulko ila shule yenyew kama nilishaiski siyo r....a's kwel.okey poa ndo yenyewe nimeikumbuka.ila mwakani wana mpango wa kwenda kupata milembe kupata tiba isikuumize mno
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  yeye ni secondmisstress
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo iwe je?
   
 11. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kama academic mr..elimu yake, ngumbaroo
   
 13. Godfrida

  Godfrida Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kweli.........
   
 14. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  HAYA majungu bwana wakuajiri wewe bac c unajiona timamu.
   
Loading...