Watu wa JF acheni wizi jamaaa kaumbuka huyu

Mr.mpemba

Member
Nov 29, 2011
17
0
Kulikua na jamaa 1 mwizi wa misalaba makaburini .siku 1 wakati akiwa katika kazi yake alipofika kwenye kaburi akaanza kuung'oa msalaba uliokua juu ya kaburi . Hafla wakasikia mtu akisema: oeeh acha hiyo antena ye2 wenyewe twaangalia mpira. "je mwajua kilichotokea kwa huyu mwizi fikirieni wenyewe.
 
ukishiba kupita kiasi ndo taabu yake.Mbaya zaidi uwe huna cha kufanya .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom