Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KakaKiiza, Nov 27, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!
  Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao
  Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!

  Endeleza na wewe.....
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Simika= kwa wapemba ni noma!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mngetupa na tafsiri zake ila mwangalie msijepigwa ban kama ina maana mbaya
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Shine, naona ututakii mema
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wadau! Kuna kambi moja ya wakimbizi iko Kenya, eebwanae jina lake mazee inaitwa KAK....MA
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  gani(i) - wairaqw
  mboro - ukoo huko Moshi
   
 7. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sundi(jina la kisukuma)
  Kwa wanyarwanda ni uchi wa mwanamke..
  Sugu kwa wasukuma ni kinembe.
  Nyooo(mshangao)wasukuma ni uchi
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sugu? huko Mwanza MrII hatakiwi kwenda.
   
 9. Z

  Zimba Senior Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wenzangu wa mkoa wa Rukwa &Katavi, kuna maneno kama; Chinyo, Msinda, Kakunda, ..... yanatumika kama majina huku niliko.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Mmmh!! Wapi huko??
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Tumia japo tafsida..
   
 12. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  vp kuhusu chunya? Nyanda olemhola?
   
 13. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhola sana heheheheE kuchunya angu?
   
 14. S

  Speedo Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Mbili kwa kiiraqw ..... Tsarr
  Elfu moja kwa kiiraqw ..... K..a (utajuta)

  Mk...u kwa kiiraqw..... Kura
  Kin...e kwa kiiraqw..... Gani'
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Husni(nyo) = kule kwetu Ikungu hiyo kwenye mabano inapendwa sana teh teh teh
   
 16. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna msanii anaitwa Langa,kwa wanyamwanga wa mbozi,LANGA=FISI,na huyu muigizaji anaitwa Irene Uwoya,kwa wanyamwanga,UWOYA=UYOGA.Pia kwa wanyamwanga neno uchi lina maana nzuri kabisa,UCHI=ASALI.Kwa wandali wa Ileje Mbeya,neno VISA=JOGOO.OVER!
   
 17. E

  Ectoparasite Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  *****...kwa kichaga ndiZI mbivu MBULA kwa kichaga mshangao...
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tembo- neno hili ukilisema hadharani kule Makunduchi, Unguja unaweza kurudi umeroa damau
   
 19. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Genge-ukiwa upareni uctamke oovyoooo yatakukuta...
   
 20. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  LUHENDE ni jina la mtu, ila nasikia kwa WAHAYA maana yake ni MKU...DU, Af kuna jamaa nilisoma nae O'Level Anaitwa PUMB.. Af Sirname Yake Ni LUHENDE, Uzuri alivyokuwa linatamkwa kwa lafudhi ya KISUKUMA huwezi ukajua
   
Loading...