Hebu cheka
kidogo,,usinune usiku huu. Mke wa Kelvin anajivunia
mume mtulivu, hashindi baa
na hatongozi
videmu. Akitoka kazini
huenda kucheza basketball
na hurudi nyakati za dinner. Siku moja...
Jamani kwa wale ambao hampandi daladala,hivi ndo vioja tunavyovipata
Mlokole: "Nyimbo gani
mnapiga?!? Wekeni
nyimbo za yesu.."
Konda: "Vunga wewe, Yesu
bado hajatoa album..."...
Habari za jumapili Wakuu?
Nakumbuka ingekuwa nimalize masomo yangu ya shahada ya kwanza (B.com) pale chuo kikuu cha Darisalama mnamo miaka ya late 90's hivi, yaani almost 15 years back, lakini...
Ni siku ambayo nilitolewa Balu kwenye Jukwaa la Wakubwa, nilijifanya kuleta changamoto, lakini wanaume wakawa moto, nikawashiwa moto, na hapo ndipo moto uliponiwakia.
Maana palikuwa hapatoshi...
Lets assume this thread is a white board for you to write and say anything that you wish to tell anyone, something you have never said to him/her before....it could be just anything, POSITIVE OR...
Browsing JF pages usiku na mchana. Posting hadi usiku wa manane. May be its time administrator restricted access hours ,akin to Mututho law restricting drinking hours. Ulevi ni ulevi tu uwe wa...
Kuna mmama moja hajaolewa ila anaishi na ndugu zake na kajukuu kake ka miaka minne,yule mama hua anenda nako kwa mabwana zake,siku ya siku akapanga miadi na bwana ya kukutana saa mbili ucku,jion...
Eti wadau ingekuwa waje? Kama BIBLIA yako unge2mia kama SIMU
>Unatembea nayo kama SIMU
>Uki_isahau unairudia kama SIMU
>Unaisoma kila wkt kama Sms kwenye SIMU
>Kava ikiharibika unaenda...
Mim na shemeji yeni tulienda mahala kupata dinner,wkt tunasubiri tuletewe chakula tukiwa tumekaa kwenye viti shemeji yenu akaniaga kuwa anakwenda kujisaidia,alipoondoka nikatoa laptop yangu...
Ndanzi alikuwa mfanyakazi mlokole aliyeaminiwa sana na mabosi wake, hasa kutokana na imani yake ya kidini. Siku moja huyu ndanzi aliomba ruhusa kwenda kuhudhuria msiba wa mjomba wake. akaruhusiwa...
Majirani wawili walikuwa na ugomvi wa muda ulioshindikana kupatiwa suluhu na majirani wengine. Sasa siku moja jirani A akaona jogoo la adui yake-jirani B likimfukuza kuku wake jike. Ghafla...
kulikua na wakinga sita walikua wakitoka makete kuelekea irnga mjini..sasa wakati wakitaka kupanda gari ilibidi wajihesabu ili isiwasumbue kwenye nauli pia ili wahakikishe kama wapo wote...
Kulikuwa na nchi moja kulikuwa na njaa akatokea tajiri mmoja mwenye shamba kubwa akaenda kutafuta watu wakumsaidia kuvuna kwenye shamba lake ili awalipe kusikia hivyo wanaume wengi walijitokeza...
Vingenevyo issues tunazozileta humu zisingekua MTAMBUKA basi Jf isingeleta maana as a society ! .
Same circumstance inayotokea kwangu leo, ndiyo itakayotokea kwako kesho.
Na ndiyo maana...
Kwa heshima na taadhima tunapenda kuwafahamisha na kuwakaribisha katika hafla ya kuwaombea dua marafiki zetu waliofariki dunia katika kipindi cha miaka ishirini (20) hadi sasa.
Marafiki waliobaki...
wana jamvi sijamuana malaria sugu looong time nadhani since sheikh yahaya alipoaga dunia sasa sielewi malaria yu wapi au ndo kashikilia nafasi ya sheikh yahaya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.