Mwalimu wa vichaa na wanafunzi wake............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa vichaa na wanafunzi wake...............

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by only83, Jan 16, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]"..............Teacher wa vichaa aliwapeleka wanafunzi wake baharini wakarelax,chizi mmoja akawa amejitenga na wenzie,teacher akamuliza "we vipi mbona umekaa pekeyako",chiz akasema" napiga hesabu hii bahari ingekua supu ningetumia chapati ngapi".[/FONT]
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huyo chizi kweli kiboko, MLAKU KM NINI
   
 3. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ebwana eeeh hii thread ni best of the best tangu mwaka huu uanze!!!!!!!!! congrats, nimecheka sana yani ingawa nilikuwa nahuzunika dada yetu mpendwa mh Regia ametutoka!
   
 4. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hiyo chizi imepitiliza!
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Huyo si chizi..,lol
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahahahahahahahahahahaha....
  mama weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaa kweli hapa umekuwa ONLY83 dah wasalimie sana pale jamatini.
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Lol sio wa kupona leo wala kesho
   
 9. sister

  sister JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiiiiiiiii, enough jamani. huyo chizi anamawazo ambayo hata mimi mtu mzima sijawahi kuwaza. lol huyo chizi fresh
   
 10. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  big up kwa aliyedesign inavyoonesha ulikuwa ufukweni huku njaa ikimuuma!
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha hii.

  Daktari wa vichaa, alianza kuwasifia client wake kuwa wote wamepona. Akawaambia kuwa kuna mtihan mmoja atakaye weza kuujibu ataruhusiwa kwenda kuungana na familia yake. Daktari akachora tundu kubwa karibu na mlango wa kutokea nje, halafu akaacha mlango wazi. Baadae akawaambia wagonjwa wale, atakaye weza kupenya kwenye tundu hilo na kutoka nje, basi yeye amepona na ataruhusiwa kwenda nyumbani.

  Vichaa wote wakavamia ukutu huku kila mmoja akijitahidi awe wa kwanza kutoka nje. Kichaa mmoja yeye alikaa pembeni akawa anawaangalia kwa makini wenzake. Alipoulizwa kwa nini yeye hajishugulishi na kutoka nje, almjibu mwalimu wake, wakiisha wote yeye atapita kiulaini

  tehe tehe tehe....
   
 12. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hakuna chiz hapo
   
 13. Y

  YOHANA MBATIZAJI Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha mbali aisee mpaka basiii
   
 14. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku moja ndege ilipita angani katika ground ya machizi. wawili wakaanza kushindana.
  chizi 1: ile ndege ni ya mzungu.
  chizi 2: LA! ile ndege ni ya rais.

  baada ya kushindana kwa muda wakaenda kwa chizi wa 3 ambae alichukuliwa kama kaponapona hivi.
  Akawauliza
  chizi3: hivi nani aliyesema ile ndege ni ya rais?
  chiz 1: ni huyu hapa.
  chizi 3:basi amekosa. ile ndege ni ya mzungu. kama ingekua ya rais UNGEONA MAPIKIPIKI MBELE YAKE!!!!:canada:
   
Loading...