Mambo ya umaarufu

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Ndo itakuwa signature yangu kuanzia sasa mpaka hapo nitakapopata nyingine.Nimekaa chini nikaiwaza sana, ukiiangalia kwa macho ya pikipiki hautaielewa lakini imebeba ujumbe mkubwa sana! Lovely weekend to all
 
Haionekani!
Ukitumia simu signature haionekani...Kimbia Cafe hapo Nanihii-Complex!
 
Ndo itakuwa signature yangu kuanzia sasa mpaka hapo nitakapopata nyingine.Nimekaa chini nikaiwaza sana, ukiiangalia kwa macho ya pikipiki hautaielewa lakini imebeba ujumbe mkubwa sana! Lovely weekend to all
Heri ya mwaka mpya mpnz,
Huishi vituko ww,
Hope ushapona na hiyo avatara yako mmmmh!
huwa inanikumbusha mdogo wangu wa kiume alipokuwa katdogo alikuwa mda wote katumbukiza mkono humo lol!
Wiki end njema.
 
nimeshapona kipenzi na niko fiti kweli sasa.lol nilikuwa natama niitoe avatar hii basi siitoi tena
 
Back
Top Bottom