Nitasikitika kutangaza kupotea kwa hawa wafuatao….!!!

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Wana JF, nina kila sababu kusema najisikia huru na faraja kila niniingiapo humu jamvini. Hii ni kutokana na jinsi ambavyo The Great Thinkers tunavyojadili hoja zinazokuwa posted humu bila kujali ni pumba, constructive na wakati mwingine kuchekesha na kufurahisha ili mradi kuongeza siku za kuishi.
Hata hivyo ni muda mrefu sasa nimewamiss baadhi ya members ambao kila nisomapo posts zao zinareflect nilichoandika hapo juu. Hao si wengine bali ni Dark City, Nyambala, Lekanjobe Kubinika, Sikonge, Bujibuji, Zero Brain, Rev. Masanilo na wengine mnaowafahamu ongezea...! Wapo au…?
Hakika leo nahitaji uwepo wao na iwapo hawatachangia kwenye thread hii, nitasikitika kutangaza rasmi ‘vifo’ vyao humu jamvini, kwamba ingawa wako hai huku waliko lakini hatunao tena hapa JF, kwa maana ya kuwa wanachama wafu (Inactive JF Members).

Nawasilisha……..:peep: :lol:
 
Du!
Huu mwelekeo sasa unatushinda wengine!!
Mbona uliowataja wote wapo, na huyo Lekanjobe Kubinika leo hii ameposti thread ya kifo cha jirani yake mpendwa Mwamafindofindo'ghaponile Mwakikenyelesyagha!
 
amba.nkya na wewe umeleta lingine ,kumbuka kifo ni njia ya kila mmoja watu hatuwezi kukikimbia
 
Du!
Huu mwelekeo sasa unatushinda wengine!!
Mbona uliowataja wote wapo, na huyo Lekanjobe Kubinika leo hii ameposti thread ya kifo cha jirani yake mpendwa Mwamafindofindo'ghaponile Mwakikenyelesyagha!

shemeji majina ya wapi hayo ?kuyatamka kwenyewe kazi

mkuu bujibuji yupo sema siku hizi mbili yupo busy sana so anaingia jf kwa machale sana. ova
 
Wana JF, nina kila sababu kusema najisikia huru na faraja kila niniingiapo humu jamvini. Hii ni kutokana na jinsi ambavyo The Great Thinkers tunavyojadili hoja zinazokuwa posted humu bila kujali ni pumba, constructive na wakati mwingine kuchekesha na kufurahisha ili mradi kuongeza siku za kuishi.
Hata hivyo ni muda mrefu sasa nimewamiss baadhi ya members ambao kila nisomapo posts zao zinareflect nilichoandika hapo juu. Hao si wengine bali ni Dark City, Nyambala, Lekanjobe Kubinika, Sikonge, Bujibuji, Zero Brain, Rev. Masanilo na wengine mnaowafahamu ongezea...! Wapo au…?
Hakika leo nahitaji uwepo wao na iwapo hawatachangia kwenye thread hii, nitasikitika kutangaza rasmi ‘vifo' vyao humu jamvini, kwamba ingawa wako hai huku waliko lakini hatunao tena hapa JF, kwa maana ya kuwa wanachama wafu (Inactive JF Members).

Nawasilisha……..:peep: :lol:

Bora hujanitaja
 
Wote uliowataja wapo. . .
Acha kuombea wenzako kifo hata kama ni chakufikirika.
 
Back
Top Bottom