unajuta kuzaliwa mtanzania?

unajuta kuzaliwa mtanzania?

selestin john

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
67
Reaction score
8
kama wewe ni binadamu uliyekamilika basi huna budi kukubali majaliwa lakini basi kuna baadhi ya watu ndani ya ardhi ya hii nchi tz eti wanadiriki kujutia kwa nini wapo hapa leo je walitaka wawe sudan au darfull?
 
Sijutii kuzaliwa TANZANIA ila najutia kuongozwa na viongozi vilaza.
 
Back
Top Bottom