Siku ambayo hutoisahau maishani mwako

Siku ambayo hutoisahau maishani mwako

selestin john

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
67
Reaction score
8
hakuna m2 ambaye hana tukio lililompata ama yeye alikuwa chanzo au au alishuhudia tukio,hebu funguka mjanja
 
Sitasahau siku niliyozaliwa nikajua nimezaliwa ulaya kumbe nimezaliwa tz iliniuma sana!!
 
hakuna m2 ambaye hana tukio lililompata ama yeye alikuwa chanzo au au alishuhudia tukio,hebu funguka mjanja

Wewe mbona haujafunguka kweli unamaajabu nilidhani utakua mfano wa kuigwa kumbe wakuiga
 
Sitosahau Siku ambayo nilijiunga jf. Nakumbuka ilikuwa october, ila mwaka na tarehe nimesahau.
 
Sitasahau siku mbwa wangu kipenzi alipogongwa gari na kukimbia kuja kufia miguuni huku akilia kwa uchungu... Kamwe sitasahau I was 12 yrs by then..
 
Sitosahau siku tulikuo tunaenda field huko Mbozi,tukapata ajali,nilipoteza fahamu kwa masaa kadhaa,nilipozinduka
nikajikuta mazingira niisiyoyajua,watu siwajui,lugha siielewi nikajua nimekufa na ndio nipo kuzimu.
Kumbe tupo kijijini.
 
Sitasahau siku mbwa wangu kipenzi alipogongwa gari na kukimbia kuja kufia miguuni huku akilia kwa uchungu... Kamwe sitasahau I was 12 yrs by then..

umenikumbusha kambwa kangu kalishambuliwa na mbwa kichaa, kakaja kufariki baada ya siku chache kutokana na majeraha. Iliniuma kweli🙁
 
mimi sitasahau siku nilipomkamata panzi wangu kwa shida...nikiwa na miaka 6...nikamfungia kwenye mkebe wa Yolanda...kuja kumfungua baada ya siku 3 nikakuta amekufa....hii kitu sitakaa niisahau...
 
Lol... Preta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom