Kuungama kunataka moyo!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Kijana wa kazi katika parokia fulani akiwa amepewa nyumba ya kuishi yeye na mkewe,kazi kubwa kusimamia mradi wa kuku wa kanisa. Akawa anaiba kila siku kuku. Watu wakamtonya padri. Akaweka mtege muda mrefu bila kumkamata. Kumbe padri nae anakula mke wa huyo jamaa! Watu wakamtonya nae kaweka mtege bila mafanikio! Kijana akaamua kwenda kuungama. Akataja dhambi nyinginezo kasoro ile wa wizi wa kuku! Padri akamwambia"bado moja" jamaa akabisha, padri akamuuliza,"je ni nani anaiba kuku wa kanisa?" jamaa akajibu,"sikuskii vizuri pazia limejaa vumbi,kama huamini njoo upande huu" padri akaenda,jamaa akamuuli,"je ni nani anatembea na mke wangu?! Padri akajibu,"sikuskii,ni kweli pazia limechoka nitalibadilisha".
 
Ile pastor anasema sisikii tu namrukia vichwa kama vitatu vya kushtukiza!... Acha kabsa habari ya wife!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom