Nauliza nani muislam hapa!?

Nauliza nani muislam hapa!?

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,901
Reaction score
27,421
[h=6][/h]Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho yanamtoka!
Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
Ghafla kamnyakuwa jamaa alikuwa karibu na mlangoni akaondoka nae! Kufika nje akamwambia, "Samahani mkuu wangu najua nimekusumbua, naomba unisaidie kuchinja mbuzi" jamaa akachinja yule mbuzi, alipomaliza akasema yeye hawezi kumchuna mbuzi.

Jamaa akiwa na panga lenye damu akarudi tena msikitini! "jamani nauliza humu nani muislamu?" jamaa wakamnyooshea kidole imamu wa siku ile.
Imam akaanza kujitetea!" aah jamani mi kuswalisha siku 2 tu ndo nimekuwa muislamu sana?,hapana mimi si muislam ila nilikuwa najifunza mila za dini hii tu."
jamaa akasema "naomba uondoe hofu naomba ukanisaidie kuchuna mbuzi nje!"

Just a Chit-Chat, no hard feelings.


[h=6][/h]
 
ha ha ha ha! umenivunja mbavu kiongozi!
 
hii teyari iko kule kwenye jukwaa la vichekesho. Nalog off
 
copy and paste from jokes to chit-chat
 
Kufia dini kazi
Ndo maana tunaamini wanasamehewa makosa yao.

Ha ha ha
 
Nimecheka mpaka basi, yani kama namuona vile.

Kichekesho hiki kina ujumbe mkubwa sana. Waumini wengi wanaweza kuwa waumini pale tu ambapo hapana ugumu, sehemu inayokuwa na ugumu wako tayari hata kubadili jina, wachache wana ujasiri wa kusimamia wanachoamini.

Jua unachosimamia.Simamia unachoamini.
 
hii sawa na padri kuja na Chupi, halafu akauliza nani mwanamke hapa? jibu kimya,nani mwanamke hapa jibu kimya, akasema nataka anionyeshe choo cha kujisaidia tu

Haya basi, tufanye na hiyo yako imetulia.
How do you feel now? relief?
 
Huu uzi Sikuuona b4 Mkuu Hii imetulia haijalishi umeitoa wapi kwani jf hakuna anayemiliki thread..


Tosabiso abangise moningate ya Mwaka Mpya.
Motema nayaya tete nangai shelii.
Izamote na mwana Nzambe ya2012
Nilikuwa Congo kwenye uchaguzi

hii kitu imetulia Nani Muislam humu!??? Mpo kimya

Nani Mkristo humu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom