Happy new year or heavy new year | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy new year or heavy new year

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by marejesho, Jan 21, 2012.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Petrol bei juu!
  "Umeme hali kadhalika"
  Kodi za nyumba balaa,
  Mchele na Nyama usiseme!
  Makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu!
  Mahari nazo hatari, School fees utadhani unanunua shule, Nauli ya kivukoni juu, mabasi ndo balaa!

  Je hii ndiyo HAPPY NEW YEAR uliyo nitakia 2012 au HEAVY NEW YEAR 2012,?!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  yaani wewe bado unakula wali na nyama?
  Kumbe wewe kwenu matajiri.

  Wenzio ni mwendo wa viazi vitamu
  tena 'bukurwa'
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kongosho mie nyama naiona buchani tu!!!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Haya bwana
  hata samaki nao hawashikiki

  jamani, nyama ya watu wa chini ni maharage kwa sasa

   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Na bado, na bado! Source.... Prof J!
   
Loading...