Haa.....habari ndo hiyo

Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,898
2,334
Baada ya miaka kadhaa ya ndoa kupita......

MKE : Mme wangu mbona unasoma sana magazeti hadi usiku jamani na mie nakuhitaji!
MUM E;Mh h mhh...... (kamguno kidogo huku akiendelea kusoma magazeti yake)
MKE: Natamani sana na mimi ningekuwa gazeti ili wakati wote niwe mikononi pako.
MUME: Hata mimi natamani sana ungekuwa gazeti ili niwe nanunua jipya kila siku.
MKE:..............................................911
 
Duh, kumbe jamaa ni kiwembe hivyo, sometimes tunatakiwa kufikiria outcome ya maneno yetu kabla ya kuyatamka, ila hio Avatar yako, kama huyo ndio hilo gazeti lenyewe huyo, mmh mie simo
 
Duh, kumbe jamaa ni kiwembe hivyo, sometimes tunatakiwa kufikiria outcome ya maneno yetu kabla ya kuyatamka, ila hio Avatar yako, kama huyo ndio hilo gazeti lenyewe huyo, mmh mie simo
Haa ha haa men huwa twaongea bila kufikiri wakati mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom