aMkA nA hIi,sIkU yAkO iWe xAfI.

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Binti mmoja alichumbiwa na
mwanajeshi mmoja. Wote
wawili walikuwa
wanapendana sana. Siku
moja yule binti alitaka
kumpima mchumba wake aone anampenda kwa
kiwango gani. Binti
akamwandikia mchumba
wake
kumwambia."Nimeamua
kusitisha uchumba na wewe coz nimepata
mchumba mwingine
anayenipenda zaidi.
Naomba unirudishie picha
yangu uliyochukua"
Mjeda alipopata barua kutoka kwa mchumba
wake; alisononeka sana.
baada ya kufikiri sana,
akapata wazo ili angalau
naye apunguze
machungu.Akaomba picha za wake zamarafiki zake
pale kambiniakapata
karibu picha 200,
akaandika barua ya
kumjibu akasema
"Nimekusahau, wewe ni nani? Angalia katika picha
hizo uchukue picha yako..!
 
Hahahahahahahahahaha Hahahahahahahahahaha Hahahahahahahahahaha , uuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiii, jamaa ni nomaa
 
Binti mmoja alichumbiwa na
mwanajeshi mmoja. Wote
wawili walikuwa
wanapendana sana. Siku
moja yule binti alitaka
kumpima mchumba wake aone anampenda kwa
kiwango gani. Binti
akamwandikia mchumba
wake
kumwambia."Nimeamua
kusitisha uchumba na wewe coz nimepata
mchumba mwingine
anayenipenda zaidi.
Naomba unirudishie picha
yangu uliyochukua"
Mjeda alipopata barua kutoka kwa mchumba
wake; alisononeka sana.
baada ya kufikiri sana,
akapata wazo ili angalau
naye apunguze
machungu.Akaomba picha za wake zamarafiki zake
pale kambiniakapata
karibu picha 200,
akaandika barua ya
kumjibu akasema
"Nimekusahau, wewe ni nani? Angalia katika picha
hizo uchukue picha yako..!

saafi saana dawa ya moto ni moto!
 
Binti mmoja alichumbiwa na
mwanajeshi mmoja. Wote
wawili walikuwa
wanapendana sana. Siku
moja yule binti alitaka
kumpima mchumba wake aone anampenda kwa
kiwango gani. Binti
akamwandikia mchumba
wake
kumwambia."Nimeamua
kusitisha uchumba na wewe coz nimepata
mchumba mwingine
anayenipenda zaidi.
Naomba unirudishie picha
yangu uliyochukua"
Mjeda alipopata barua kutoka kwa mchumba
wake; alisononeka sana.
baada ya kufikiri sana,
akapata wazo ili angalau
naye apunguze
machungu.Akaomba picha za wake zamarafiki zake
pale kambiniakapata
karibu picha 200,
akaandika barua ya
kumjibu akasema
"Nimekusahau, wewe ni nani? Angalia katika picha
hizo uchukue picha yako..!


Hiyo inaitwa komesha jinga. Mjeda kaua !
 
Back
Top Bottom