Husband comes home from Church, greets his wife, lifts her up and
carries her around the house.The wife is so surprised and asks
smiling,"did the Pastor preach about being romantic"? Out of breath...
haya wanajamii tuchangamshe bongo zetu...
kuna watu watatu walikua wanavuka mto...lakini mmoja kati yao alivuka kwa kuyakanyaga maji,wapili aliyaona maji lakini aliyavuka bila kuyakanyaga na...
Jamani nilikuwa kwenye ban tangu tar. 7 Desemba mwaka jana...
Kati ya mambo yalonipita ni hili la member mwenzetu kutaka kuwa mbunge wa JMT, tena ikiwezekana ampoteze Marehemu Regia kwenye...
If you have really loved someone in your life then arrange this sentence correctly "LOVE EVER YOU HATE ME LIKE HEART I FOR YOU NEVER IN LIFE". Then send it to me.
Yesterday, I was passing by your rectangular house in trigonometric lane.
There I saw you with your cute circular face, conical nose and spherical eyes, standing in your triangular garden...
Jana ulipost ile post ya kusepa na mkwanja wa office, sa leo huyo demu wa heslb kaiba ml 90. Swali ulikuwa naye kwenye mipango? Ulimtuma ye kama chambo ili ujue adhabu yake? For the good faith...
WanaJF kuna habari zisizothibitishwa bado kwamba Paw alisombwa na mafuriko ya Dar mwezi December 2011. Kama kuna yeyote aliyewahi kumuona au kumsikia baada ya hayo mafuriko atufahamishe...
Dont talk to me of love. Ive had an earful
And I get tearful when Ive downed a drink or two.
Im one of your talking wounded.
Im a hostage. Im maroonded.
But Im in JF with you.
Yes, Im...
Shekhe
mmoja wa makamu na heshima zake alikuwa
anatembea njiani siku moja... Mara akamuona mtoto
wa kama miaka 5 akijaribu sana kubonyeza kengere ya
nje ya mlangoni wa nyumba fulani bila...
@arusha,mama mchagga,baba mngoni.
heri ya mwaka mpya wana JF
Ikumbukwe nina elimu ya kuungaunga, kwa hiyo haitatokea niwe bosi
...sina hulka ya wizi/ujambazi.Hapa ofisini nina take home ya...
Kwa mara ya kwanza najitupa Chit Chat mnisaidie hili. Sina hakika kama lilishawahi kujadiliwa sana ama laaah lakini lengo hasa ni kutaka kufahamishwa ni jinsi gani unaweza ukailea nyumba ndogo...
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.
Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or...