Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Jamani nilikuwa kwenye ban tangu tar. 7 Desemba mwaka jana...
Kati ya mambo yalonipita ni hili la member mwenzetu kutaka kuwa mbunge wa JMT, tena ikiwezekana ampoteze Marehemu Regia kwenye ramani.
Sawa, hakuna ubaya wa mtu kuwa mjengoni, hata Lusinde si kaingia bwana? Achilia mbali Ngugai na Makinda ambao ndo viongozi... oops! Nilitaka kumaanisha watawala wa ule mjengo.
Nimewataja hao kwa kuwa ni vilaza, narudia tena, VILAZA! Kwa hiyo kama wameweza wale, hata GM anaweza.
Sawasawa?
Wasiwasi wangu ni miaka kadhaa mbele, ati chombo cha habari kiripoti,
"...Mheshimiwa Golden Mpoleee, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya..."
yakitimia haya mimi nitaoga bila nguo.
I bet!
 
Hukuwa na haja ya kuzunguka...ungeenda tu straight to the point..
 
Hukuwa na haja ya kuzunguka...ungeenda tu straight to the point..

Mi bado sijamwelewa kabisaaa!
Ana wasiwasi na GM kua ni kilaza kama aliowataja hapo,
au anamkubali maana kaahidi kuoga bila nguo (ambavyo ndivyo ilivyo) so anamaanisha GM akipata ubunge kwake hakuna cha ajabu ataona kawaida tu.
 
simpo ina maana kanizimia mpaka hawez kujieleza.
 
Some monkey-tricks being played here!...huh!
I smell some childish Tom&Jerry kinda game!
 
Back
Top Bottom