Tetesi: PAW alisombwa na mafuriko ya Dar

Tetesi: PAW alisombwa na mafuriko ya Dar

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
WanaJF kuna habari zisizothibitishwa bado kwamba Paw alisombwa na mafuriko ya Dar mwezi December 2011. Kama kuna yeyote aliyewahi kumuona au kumsikia baada ya hayo mafuriko atufahamishe. Vinginevyo Paw mwenyewe kama hakusombwa basi ajitokeze!
 
Hajasombwa ila kapata kazi MAMLAKA YA UTABIRI WA HALI YA HEWA
 
Yuko Mabwepande......hapa jamaa wanamalizia hema lake

Mabwepande1.JPG
 
Mi mzima shemegi! Nakumiss sana shemu langu!....Unasalimiwa sana na Kabakabana!

asante kwa salam....mwambie Kaba niko matenite...mtoto akitembea nitaenda kumsabahi pale salon kwake....
 
Back
Top Bottom