Cjui atanielewa tena huwa anakomenti nikitoa statuc
heeee!
Ongea naye kwa kuteta, kumbuka tuko msibani na bendera ya jf iko nusu mlingoti!
Mwanaume kujiamin,acha woga,funguka tu umweleze yako ya moyon ujue moja,wanaume hawaogopagi kukataliwa ,wavulana ndio huogopa hilo!
Who dat?
Zama za uwazi hizi...