Zipi kanuni za kulea nyumba ndogo isikukimbie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zipi kanuni za kulea nyumba ndogo isikukimbie.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Losambo, Jan 23, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza najitupa Chit Chat mnisaidie hili. Sina hakika kama lilishawahi kujadiliwa sana ama laaah lakini lengo hasa ni kutaka kufahamishwa ni jinsi gani unaweza ukailea nyumba ndogo kiasi ambacho haiwezi kukimbia. Nimekuwa nikijiuliza ili nyumba ndogo isikukimbie ni sharti uwe;
  1. Handsome? Mwanaume mwenye mvuto kiasi ambacho siyo rahisi kukimbiwa huku kunako sita kwa sita ukiwa mtaalamu wa kutosha?
  2. Uwe na uwezo wa kuihudumia nyumba ndogo? Kuihudumia kiasi gani sasa?
  3. Uwe na mali kama gari na vitu vidogo vidogo?
  4. .....
  Kwa kweli nimekwama naomba mnidadavulie maana sababu za kuwa na nyumba ndogo ni nyingi na kila mtu na yake kulingana na mazingira.


  Najua Chit Chat ina wenyewe nami nawaita na kuwaalika ili tujadili hili.


  Nawakilisha.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Subiri wazowefu wafike nishawaita wanakuja............
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa msaada najua watakuja sasa hivi.
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ni lazima ukubali kuwa cash cow...hapo nyumba ndogo haitakukimbia. This is the first and foremost principle, the rest is prologue
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Utingo mbona tunaona baadhi ya wadosi wana mkwanja kachaa na wanahudumia lakini watu wanakula nyumba ndogo zao bila chenga tena kwa kigezo cha kutowafikisha?

  Kanuni yako nimeinote. First anf for most, money
   
 6. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ukitaka uheshimike na kuitawala nyumba ndogo kwa mfumo wa miaka kumi kumi kama CCM ni mwendo wa kuvunja kibubu tu yani kwa lugha nyepesi kwa nyumba ndogo laki si pesa million uadui..
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Gozo kama ni hivyo naanza kukata tamaa mimi nilifikiri ukionja tundi basi kama umejituma sana na kufanya makoronjinjo basi unaweza ukapendwa provided sector nyingine upo normal!!!!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  the best way to find out ni kwa wewe kujitumbukiza kwenye hako kajumba kadogo...uone kisha utathibitisha nilivyokwambia. Also remember Kinywa cha malaya ni shimo refu;Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake. Mithali 23:14
   
 9. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kama performance yako inalizisha ktk nyumba ndogo ni added advantage but uvunjaji wa kibubu ndo alfa na omega..
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Kama ana masikio atasikia, umemnyooshea sana.
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kibubu kumbe ndiyo siri basi maskini hawana chao na naanza kuamini ule msemo wa wacha wafu kwa wafu wazikane!!!!

   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mzee wa Rula usifikiri wote wanaopenda kufanya dhambi ni hiari yao, elewa dhambi imepambwa katika ulimwengu wa roho na kama binadamu tunajikuta tunashindwa na ndiyo maana wengi tunaogopa kufa licha ya kujua mbingu ni ujira wa mwenye kutenda mema kwa Mungu.
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unless umebeba malaya, na tangu mwanzo ulianza kununua penzi but kama umepata nyumba ndogo iliyo tulia ni bora na wewe utulie, uiheshimu na kuipenda kama mwanake .
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Inabidi ibaki kuwa ndogo........na haikubali kupatikana ndogo nyingine
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160

  Hiyo bold ndo naiona kwa mara ya kwanza........................

  :focus: Acha mpango wa kando
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha kufanya zaidi ya kujiandaa kukimbiwa.
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ah! Mi hii thread hainihusu sana. Kazi yangu siku zote ni kubanjua nyumba ndogo za madosi.
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hapa Asprin anaumwa tu angekupa kanuni

  RR,Teamo,Nguli,Kaizer ,Klorokwin na wengineo wakiiona hii post watakusaidia
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Losambo, ukitaka kumiliki nyumba ndogo uza mali ubaki medium, kama ni cheo kataa ubaki mfanyakazi wa kawaida. Ni ngumu sana kumiliki vitu viwili, yaani penzi na pesa.
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  wewe je, ni kwa hiari au si hiari?
   
Loading...