dah kumbe unahesabu makenchi pole sana...kama ni hivo kweli siku ni ngumuHivi haya masaa manne yalobaki unadhani mchezo??
Magumu sana kuyamaliza.
Hata ukilala saa hii ni kuhesabu makenchi tu.
Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.
Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
Hukupata morning glory....ingeisha tu vizuri!
Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.
Sijui ndo menopouse!
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.
Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.
Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
hivi ni black monday au blue monday??????
May be? May be not?
Ngoja nikumbuke.