Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,285
7,143
@arusha,mama mchagga,baba mngoni.
heri ya mwaka mpya wana JF

Ikumbukwe nina elimu ya kuungaunga, kwa hiyo haitatokea niwe bosi

...sina hulka ya wizi/ujambazi.Hapa ofisini nina take home ya 520000/= , hii kampuni huwa na NOT BELOW dola U$400,000 kama makusayo in a single day, ni wakwepa kodi sana kwa hiyo tuna namna yetu ya kurekodi figure za chini sana..

bosi mkuu katokea kuniamini, Naweza kuziiba kwa KUONDOKA NAZO KWENYE MKOBA WANGU na wakashtuka baada ya siku mbili kuwa kuna upungufu.

Nimeongea na mawakili wanne kutoka Law firm tofauti kuhusu adhabu ya kihasibu nayoweza kupata kutokana na upotevu huo, ni miaka isiyozidi miwili.Boyfriend wangu yupo ubelgiji masomoni nimemweleza MPANGO WANGU KANIKATALIA

Wana JF!!
1.hivi Marytina ntavumilia kuona wadogo zangu wakipokea virungu kisa wanaandamana kudai fedha BODO YA MIKOPO MPAKA LINI??

2.Sihitaji official ruhusa kutoka kwa BF I AM JUST LETTING HIM TO KNOW JUU YA MPANGO WANGU pasipo yeye kuweka neno

3.Kwa mshahara wangu lini ntapata hiyo hela???mimi sitaki watoto wangu waje kukulia kwenye umaskini iwe hata kwa kukaa jela kwa muda
 
Marytina naona umerudi rasmi.

Ukiiba kuwa tayari kukamatwa na kuadhibiwa. Alafu na hiyo 520000 utaishia kuisikia redioni.
 
Onana na Nimrod Mkono ndio mtu sahihi wa kukushauri jinsi ya kuimaliza hii kesi bila kunyaga hata mlango wa polisi, wewe kusanya weakest evidence zao basi kwisha kazi.
Achana na huyo Boy friend wako mshamba, wewe una sifa zote za kuwa mke wangu wa ndoa na sio Boy friend.
 
Liyumba amekwiba Mabilioni adhabu jela miaka 2 na yuko uraiani anakula mabilioni yake kwa raha zake, nyinyi mtabaki kuilaumu CCM tu shauri yako.
Woga ni rafiki wa umaskini.
 
Onana na Nimrod Mkono ndio mtu sahihi wa kukushauri jinsi ya kuimaliza hii kesi bila kunyaga hata mlango wa polisi, wewe kusanya weakest evidence zao basi kwisha kazi.
Achana na huyo Boy friend wako mshamba, wewe una sifa zote za kuwa mke wangu wa ndoa na sio Boy friend.

Wewe ni mkazi wa Dar Es Salaam?

Marytina naona umerudi rasmi.

Ukiiba kuwa tayari kukamatwa na kuadhibiwa. Alafu na hiyo 520000 utaishia kuisikia redioni.
nimeshaonana na mawakili naijua adhabu yake ni chini ya miaka miwili kama nkipatikana na hatia
Lizzy kwa elimu yangu ya kuungaunga nguvu na ujanja wangu ndio utakaoniokoa watoto wasije soma st.Kanumba
 
Onana na Nimrod Mkono ndio mtu sahihi wa kukushauri jinsi ya kuimaliza hii kesi bila kunyaga hata mlango wa polisi, wewe kusanya weakest evidence zao basi kwisha kazi.
Achana na huyo Boy friend wako mshamba, wewe una sifa zote za kuwa mke wangu wa ndoa na sio Boy friend.
pamoja na wewe kuwa mwanaume wa dar kwa hili nakupa tano.

tazama!!!!!!!kwa mia 520 lini ntakuwa na milioni 70????
 
Onana na Nimrod Mkono ndio mtu sahihi wa kukushauri jinsi ya kuimaliza hii kesi bila kunyaga hata mlango wa polisi, wewe kusanya weakest evidence zao basi kwisha kazi.
Achana na huyo Boy friend wako mshamba, wewe una sifa zote za kuwa mke wangu wa ndoa na sio Boy friend.

tamaa mbaya sana utakuja kufa bure kisa tamaaa.. songi tamaa artist 20%
 
Onana na Nimrod Mkono ndio mtu sahihi wa kukushauri jinsi ya kuimaliza hii kesi bila kunyaga hata mlango wa polisi, wewe kusanya weakest evidence zao basi kwisha kazi.
Achana na huyo Boy friend wako mshamba, wewe una sifa zote za kuwa mke wangu wa ndoa na sio Boy friend.

Kumuona tu huyo jamaa ni $ 300
 
Back
Top Bottom