Sisi binadamu,Tunasikia kuna mungu au tunamjua mungu?
Umeambiwa na nani Mungu ni mtu???Unaweza kumjua mtu bila ya kumwona kwa macho?
Mungu ni Roho, nao wamjuao yeye wamjua katika Roho na Kweli. Huwezi kuamini usichokijua. Lazima kwanza umjue, then umwamini. Hata wanaomtumikia Shetani lazima wamjue ndiyo wamwamini wakishamjua.
Kama si mtu ni nani?
Ngoja wanakuja,Mx
umelewa viroba ee!Unaweza kumjua mtu bila ya kumwona kwa macho?
We jaribu kuja na mada zinazojenga,usipende kujadili yaliyo nje ya uwezo wako,otherwise karibu Moshi kwa Mwakasege ufanyiwe maombi fasterKama si mtu ni nani?
Tena vilivyoandikwa 'KIROBA'umelewa viroba ee!
Hata kule Jamii Intelliogence kuna topic kama hii aende ataikuta na imejadiliwa kwa muda mrefu sana wa zaidi ya miezi miwiliPeleka swali lako Jukwaa la dini.
Kila binadamu ana haki ya kuamini anacho penda.We jaribu kuja na mada zinazojenga,usipende kujadili yaliyo nje ya uwezo wako,otherwise karibu Moshi kwa Mwakasege ufanyiwe maombi faster
Jibu hoja kama unajua unacho ongea.Inaonekana hujui unacho abudu ndiyo maana unaanza kutukana badala yaumelewa viroba ee!