BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
....kidogo inanipa shida, cjui kama huko nyuma (zamani) pia ilikua namna hii...
wakaka wanakimbizana na wadada....pakitoka aina fulani ya blauzi, basi ujue mbioni kutakua na mashati ya aina iyo iyo...
pakitokea suruali fulani za wadada, basi soon kutakua na suruali inayofanana vilevile na ya wadada, ila atakuambia hii flaizi yake iko kushoto kwa hiyo ni yakiume hii iko kulia yakike...
skin-jeans nilimuona dadangu anavaa, nikamkuta mshkaji nae kavaa, tena rangi ya UDHURUNGI...akasema hizi za kiume weweeee!!!
na yeye kabana nyonga!!
toba!!