wapi K'moto bomba wadau wa Arachuga?a

wapi K'moto bomba wadau wa Arachuga?a

Kichwa cha habari kinauliza wapi utapata. . .
Mwili wa habari unasema Arusha haipatikani na kumalizia na swali.
 
Kichwa cha habari kinauliza wapi utapata. . .
Mwili wa habari unasema Arusha haipatikani na kumalizia na swali.

nimeifungua kwa mbwembwe ili nimuelekeze nilichokutana nacho kimenipa usingizi
 
inapatikana Moshi mjini
ushasema hiyo mambo haiko arachuga

ndio, ni kweli
 
mianzini mkuu! Kipo cha ukweli pale kaka!
 
Inasaidiaga ehh?
Sasa mbona wengine hawaonekani kama imewasaidia.

si ndo kama wewe sasa mkuu? manake bandiko la mleta mada linaeleweka vizuri, japo ni kwa sentensi moja tu ambayo we imekuacha porini, haha!
 
naomba muongozo..."K" inasimama badala ya nn?..maana!
 
si ndo kama wewe sasa mkuu? manake bandiko la mleta mada linaeleweka vizuri, japo ni kwa sentensi moja tu ambayo we imekuacha porini, haha!

sasa heading na alichoandika ndani vinaendana kweli?basi na mimi atakuwa ameniacha kama lizzy
 
sasa heading na alichoandika ndani vinaendana kweli?basi na mimi atakuwa ameniacha kama lizzy

Na ndo mana jamaa kasema shule inasaidiaga sometimes, -it means one has got to know how to join the dots ..!
 
mianzini,sanawari hila mimi napendelea cha gody's place njiro
 
Kimekuwa libaya tena??hila kuna pub kabla ya godys kuna vidada vizuri vinauza km sema nimesahau panaitwaje

cha gody kimepwaya iko ya sakina opposite na manna hotel utakuwa VIP member lolz
 
Back
Top Bottom