Wanachama wa jamiiforums wapewa tuzo

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamani mwenzeni nimeota wanachama wa jamiiforums tumeitwa kupewa zawadi kila mmoja kutokana na mchango wake aliotoa katika jukwaa hili. Zawadi zilikuwa zinatolewa katika uwanja wa Taifa Dar. Kila mwanachama alikuja na familia yake ili ashangiliwe wakati anapewa zawadi. Msherehereshaji akawa anasoma jina moja moja pamoja na kusoma jokes zote zilizotumwa na mhusika. Jamani ilikuwa kimbembe, tumegoma wote kwenda kuchukua zawadi wengine wakaomba tupewe tukiwa peke yetu, wengine hata hilo hawakulipenda wakataka tuingiziwe ktk simu zete kwa m-pesa. Nilipata manufaa sana kupitia ndoto hii maana nilikutana na wanachama wenzangu wa JMF physically hasa Professors wa vyuo mbalimbali, wanasiasa mashuhuri na viongozi wengine maarufu wa Serikali. Yaani nyie acheni tuu jamani, sijaona jukwaa lenye watu maarufu kama hili.
 
Umeota ndoto nzuri, mimi nimeota ndoto ya ajabu ajabu tuu nimeota jirani yangu Daktari ananitukana kwamba mimi si lolote si chochote kwasababu shule yangu ya Uhasibu siyo ngumu kama ya kwake yeye ndiyo maana Serikali kwa kutambua hilo ilionelea ni vema mishahara yao iwe juu kuliko watumishi wote serikalini. Daa nilipostuka nilikasirika sana ila kwasababu ni ndoto tuu nimepuuzia sidhani kama kweli madaktari wana dhalau
 
Nchi hii haijawahi kuchagua Rais kwa Kanda, Dini, wala Rangi. Rais anachaguliwa na Watanzania, anayezani Mh. ana jina la Rais wetu ajaye anajisumbua.
 
..............................unaweza kukumbuka mimi nilipewa nini!!!!??.................
 
Jamani mwenzeni nimeota wanachama wa jamiiforums tumeitwa kupewa zawadi kila mmoja kutokana na mchango wake aliotoa katika jukwaa hili. Zawadi zilikuwa zinatolewa katika uwanja wa Taifa Dar. Kila mwanachama alikuja na familia yake ili ashangiliwe wakati anapewa zawadi. Msherehereshaji akawa anasoma jina moja moja pamoja na kusoma jokes zote zilizotumwa na mhusika. Jamani ilikuwa kimbembe, tumegoma wote kwenda kuchukua zawadi wengine wakaomba tupewe tukiwa peke yetu, wengine hata hilo hawakulipenda wakataka tuingiziwe ktk simu zete kwa m-pesa. Nilipata manufaa sana kupitia ndoto hii maana nilikutana na wanachama wenzangu wa JMF physically hasa Professors wa vyuo mbalimbali, wanasiasa mashuhuri na viongozi wengine maarufu wa Serikali. Yaani nyie acheni tuu jamani, sijaona jukwaa lenye watu maarufu kama hili.
Ukata ndiyo unaokufanya unaota ndoto kama hizi. Pole sana sana.
 
Ukilala na njaa waweza ukaota unaogelea kwenye chipsi na kuku. Njaa hiyo.
 
Back
Top Bottom