mheshimiwa pinda:ratiba yangu ya leo

Dr.Chichi

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
2,394
631
baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga taifa
 
umeenda na kobe wako?
avatar10505_3.gif
 
huyu anadhani nyie walimu ambao wanawachezewa kila siku harafu hawagomi kazi kutoa matamko lol ! nawaungeni mkono ndugu zangu
 
bado na sisi wahasibu ambao hatuna sifa ya kugoma, na sisi tunajiandaa kuingia road
 
baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga taifa

Chichi bomba sana ila angalia usilewe maana walevi huwa wana tabia ya kutoa siri zao isije jirani akawa amekaa mtu TISS akawaambia watu kwamba na wewe ni kama Ulimboka hujamaliza Internship yako. LOL
 
bado na sisi wahasibu ambao hatuna sifa ya kugoma, na sisi tunajiandaa kuingia road

Hala hala! We mhasibu ukigoma si mafisadi watakwangua hela zetu zote!!!!! Ushiriki wako kwenye migomo ni support yako ya hali na mali lakini katu usiondoke kwenye "safe" au "strong room" tusije tukalizwa na mafisadi.
 
Chichi bomba sana ila angalia usilewe maana walevi huwa wana tabia ya kutoa siri zao isije jirani akawa amekaa mtu TISS akawaambia watu kwamba na wewe ni kama Ulimboka hujamaliza Internship yako. LOL

he he hawa jamaa hawana tactics kabisa.mara mbili tumewashtukia kwenye mkutano na kuwafukuza.ni neema ya Mungu kwamba tz haina maadui coz i dont think our security is tip top.
 
Madaktari kazeni mpaka kieleweke kwani magamba washazoea walimu' sasa nyie kazeni.........
 
madaktari nashukuru mmeikubali methali ya rastafari ''promises are comfort to a fool'', endeleeni kutokuwa wajinga wa government
 
baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga
taifa

Mkuu nakuja kukuunga mkono.
Au pinda kuvaa pete ya Gold tayari umekuwa mwelewa au
 
wengine sisi hatamsemeje hatutagoma maana mishahara midogo sana ia vidili vya 10% ndo vinatufanya tuishi, najua mmejua mimi ni nani! Ila madactari nawaunga mkono gomeni sana wakuu!
 
Hah.............................akiipata hii ataamuru Mahospital ya Private marufuku kuajiri madaktari kwa muda wa miezi sita
 
Pinda kaona kashiba ndio maana anajifanya saa hizi hajui wenye njaa,kweli viongozi wetu wamelewa madaraka kiasi kwamba wanadhani taaluma ya udaktari unaweza leta wanamgambo na jeshi kuhimili afya za watu,kama anao madaktari siku zote hizo alikuwa anasubiri nini?
 
Back
Top Bottom