Daladala za mbagala zina utamu wake!

Daladala za mbagala zina utamu wake!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya mda konda akamuuliza "bibi unalia nini sasa"
Bibi akajibu "miaka yote 25 niliyoishi mbagala sijawahi kupata siti" konda akamshangaa kisha akanena "bibi pisha siti ya dereva hiyo.
 
teh teh, sio bure bibi alikuwa na stim za sigara pori!
 
Mweh! Bb kilio kiliendelea au kiliishia hapo? lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom