Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Mtaa # 1 huko s'wanga:Jamaa akiwa na baiskeli yake akakutana na babu mmoja akienda kwa mguu.Yule babu akamuomba lift,jamaa akatosa kwa visingizio baiskeli yake ni mbovu.Babu akasema haina shida,tangulia kijana.Kuanzia hapo baiskeli ya yule kijana ikawa nzito mno,hata vilima vidogo akawa anasukuma tu.Yule kijana alipofika mwisho wa safari yake alimkuta yule mzee amejipumzisha chini ya mti.Cha ajabu hakuna baiskeli,pikipiki wala gari iliyompita huyu kijana njiani,je huyu babu alitangulia vipi?